HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu[emoji2]
Mhhhhhh....si umesikia atakuwa na 10M na ushehe baada ya miaka mitatu
Ataizungusha hyo na mwishowe anunue hadi Harrier
 
Kwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!!🤔🤔🤔
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu😃
Hahahaha ni kweli mkuu, ualimu ni ndoto kuishi maisha unayoyataka wewe mkuu ndio maana napigana niondoke hapa nilipo nirudi sehemu ambayo najua nitafanya michongo mpaka ikubali.
 
Yes hapa niliwahi fanyia research yang hapo! Yaaan nilifanyia hapo bure....vifaa hawakunitoza hata senti
Na msosi mchana nilikuwa nakula na staff[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa wiki tatu..
Na mashine nlokuwa natumia ilikuwa inalala on inakausha samples...aiseeee Mungu awabless hawa jamaaa....
Kuna watu wanakula mema ya nchi aisee
 
Sioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe....Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
All the best bro Ila hii yote ni mipango na usijari kuoa kwanza utakuja hapa kutuuliza benki yenye riba nafuu ni ipi
 
Kwa Hali hii Kuna kununua SUBARU FORESTER kweli..!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ila hongera maana uhakika wa kula unao huko Maporini, huwezi kung'oa Mihogo ya watu[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nachojua wenye digrii walimu walkuwa wanaanza na 710k....then maza alivyoongeza ndo ikapanda.....
Hii ya kusema arts wanalipwa tofauti na sayansi nmeisikia leo
Yap, walikua wanapewa 716k zamani wa Sasa wa art nadhani ni 770k Sina hakika , nadhani muongozo mpya ulianza kutekelezwa mwaka 2021, ya kuwapromote walimu wa science kwa kuana na d3
 
Hahahaha ni kweli mkuu, ualimu ni ndoto kuishi maisha unayoyataka wewe mkuu ndio maana napigana niondoke hapa nilipo nirudi sehemu ambayo najua nitafanya michongo mpaka ikubali.
Fanya kweli uondoke hapo,, tukutane Serikali kuu sio Huko LGA..
Mwanamume ni kupambana naamini kuwa utakaza ili upande Green Pasture yakueleweka
 
Mpende sana mkeo mkuu na bila shaka atakuwa wa kijijini. Kwa take home ya laki 3.7 anaendelea kukuvumilia kwa miaka zaidi ya 3.
Yeah ndio hivyo, Lakini naona future yangu ikiwa bright kwa miaka yangu 24, nawaza nikifika 30 nitakua wapi? Kaka angu mkubwa kapata TRA mwaka Jana Lakini ni baada ya kumaliza chuo 2011 nikiwa darasa la saba na kudumu mtaani miaka 12
 
Sioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe....Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
Dogo una content sana
 
Back
Top Bottom