Nimewaza hili wazo lako unaweza pia kuliapply kwenye mambo ya ufaulu wa Chuo?Hii ishu ya readvertisement haijakaa sawa!!!!!
Ishu ni vjana wapate kazi na vjana ndo hao hao...what if ukareadvertise huyohuyo ulomkata akaomba tena na akapata hiyo nafasi...tuseme ndo atakuwa amekuwa mbobevu wa kumudu kazi tulohisi hakuwa na vigezo hapo awali???????
Ukitoboa TMDA usije ukawasahau wadau/jobless kwenye ufalme wa Asali hata kwa Vocha[emoji3][emoji3]Mfano kwa TMDA tuchukulie mtu wa pharmacy ..(Assistant drugs inspector) Ni Kama ngapi vile??
Ni mwendo wa kupakua tuAsali ipo hapo imejjtuliza tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ndio tujiulize sasa, halaiki yote hii ya jobless kila mmoja anaweza kuwa na Kaka yake kwenye kila taasisi? Jibu ni hapana. Hiki kitu kinakuwa ni kichomi sana.Mkuu taasisi kuajiri wenyewe ni shida.
2015 niliomba kazi taasisi X, majina yalipotoka sipo. Nikampigia simu kaka yangu aliyeniambia niombe ile nafasi. Akaniamba ngoja amcheki Classmate wàke anaefanya kazi kwenye ile taasisi X makao makuu. Baada ya muda akanipigia akaniambia siku ya interview nibebe vyeti niende hata kama jina halipo. Nilipoenda Siku ya interview nakuta jina langu la mwisho limeandikwa kwa pen majina mengine yote yako typed. Nikaingia nikapiga paper.
Ebu nitoe tongo tongo kwenye Calculation ya PAYE, inakokotolewaje?Ofcourse kuna kodi PAYEE hapo NHIF, PSSSF, HESLB hvyo vyote ukiwa na mshahara mkubwa inashusha parefu mno, ila wenye mishahara midogo makato ni madogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeandika na kufuta!Nimewaza hili wazo lako unaweza pia kuliapply kwenye mambo ya ufaulu wa Chuo?
Mtu afaulu course work, practical, field work halafu kwenye UE akaja akapata sifuri(au asilimia chache) am ambapo average ya ujumla ikawa below pass mark, huyu pia afaulishwe kisa alifaulu mengine nyuma?.
Ili kuondoa mkanganyiko kama huu ndio zikaandaliwa kanuni ili kuongoza kwenye kutoa maamuzi ya mwisho!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mwendo wa kupakua tuView attachment 2546925
TCRA 2m!!, faamasiala nini! Ni 3.4mHabari,
Hii ipo sawa salary za ICTO 2?
1. TPDC==I don't know
2. TCRA==2.0m
4. Ngorongoro==1.8m
3. Ewura==I don't know
4. WCF==2.0m
5. TBS==I don't know
5. TANAPA==1.8m
5. Tume ya madini==I don't know
6. Mamlaka ya chakula na dawa==I don't know
7. SSRA==2.0m
8. NSSF/PSSS==I don't know
9. BOT==I don't know
9. Bunge==I don't know
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali==I don't know
10. TASAC==1.5m
10. TRA==2.5m
11. MSD==I don't know
11. TAKUKURU==I don't know
11. EGA==2.61m
12. NHIF==1.6m
13. TPA==1.6m
13. TIC==I don't know
HESLB 15%Kwamba makato yote ni zaidi ya asilimia 45??
Ndio maana wafanyakazi wengi wana maisha ya kawaida.HESLB 15%
PSSSF 5%
PAYEE 15%
WCF 2%
NHIF 3%
kama ni mwalimu kuna CWT 3%
PRSS 1 ni kiasi gani hasa kwa researchersTCRA 2m!!, faamasiala nini! Ni 3.4m
Nilisoma namna WCF wanavyofanya kazi zao, nikaona kuwa mwajiri ndio mwenye mamlaka ya kulipa hela kwenda WCF na sio kukata mshahara wa kila mtumishi.HESLB 15%
PSSSF 5%
PAYEE 15%
WCF 2%
NHIF 3%
kama ni mwalimu kuna CWT 3%
NB: Makato ya chini kabisa ni 40% na juu ni 45% sababu walimu wengi huwa kujiunga WCF ni hiari hivyo huwa hawajiungi huko, wanaishia CWT
Ndio wcf ni jukumu la mwajiri na ni asilimia 1 tu ndio anayotakiwa kuilipa sio mfanyakaziNilisoma namna WCF wanavyofanya kazi zao, nikaona kuwa mwajiri ndio mwenye mamlaka ya kulipa hela kwenda WCF na sio kukata mshahara wa kila mtumishi.
NB: Kama siko sahihi naomba kusahihishwa
Yani unapata kazi leo unamvimbia Boss unajua ushatoboaa kumbe Kazini unaingiaa Miezi 6 ijayoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kikubwa utumishi wajitahidi wanapofanyisha usaili ule wa oral usipite mwezi watu hawajajua hatma yao....vinginevyo malalamiko juu ya hilo yataendelea sana na litaonekana ni tatzo kubwa mno kuliko ilivyo kawaida!!!!
Haiwezekani kuendelea kuwafanya watu wasubiri kama ilvyosasa hadi miezi minne au sita.....
Hadi wanaitisha usaili wahakikishe mambo yashapangwa kuhusu utaratibu wa waajiriwa watarajiwa!!!!
Weee jamaa hadi huku upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani unapata kazi leo unamvimbia Boss unajua ushatoboaa kumbe Kazini unaingiaa Miezi 6 ijayoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ISiasa mchezo mchafu
Hatari sana.Yani unapata kazi leo unamvimbia Boss unajua ushatoboaa kumbe Kazini unaingiaa Miezi 6 ijayoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]