Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 385
- 1,085
Mpaka ufanye mkuuUsipofanya (mfano ukiwa safarini) au ukitoka kazini muda wa kawaida 1530 hrs, still uko eligible kulipwa extra duty??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ufanye mkuuUsipofanya (mfano ukiwa safarini) au ukitoka kazini muda wa kawaida 1530 hrs, still uko eligible kulipwa extra duty??
Kwamba majukumu yao lazima wasafiri kwa kiasi kikubwa?
Wao sindo technicians, kwa hio mifumo ikizingua wanatumwa wao waendeKwamba majukumu yao lazima wasafiri kwa kiasi kikubwa?
Ahaa sawa, wenye degree ndio wapo maofisni kwa sana eeWao sindo technicians, kwa hio mifumo ikizingua wanatumwa wao waende
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ila sijajua kwa branches zingine, ila nyingi nnazofaham wengi wao wanakuaga maofisini tuAhaa sawa, wenye degree ndio wapo maofisni kwa sana ee
Wako vizuriBasi sehemu nyingine kuna mshahara, posho ya nyumba na usafiri na extra duty allowance.
Watu wanalamba asali huko TRA bwana
Ngoja niridhike nisije nikaidiss hii taalauma yangu niliyo nayo kisa hizi habari[emoji23][emoji23][emoji23]Basi sehemu nyingine kuna mshahara, posho ya nyumba na usafiri na extra duty allowance.
Watu wanalamba asali huko TRA bwana
Nakushauri usipigie mahesabu extra duty, we pigia mahesabu mshahara wako hzo posho hazitabiriki... Anaweza akaja kiongozi mwingine akawabania vile vileSkywalker00
IPO SAWA HII?
TRA 2.34M, take home 1.657M after heslb take home 1.306M
kuna extra duty tu 900k so jumlishia hio
Siku 15 tu, 60k per day... Unafanya tu
1.306M + 900k = 2.2M
NET SALARY 2.2M
Ngoja niridhike nisije nikaidiss hii taalauma yangu niliyo nayo kisa hizi habari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu NAOT nimepata taarifa mambo mazuri hukoNgoja niridhike nisije nikaidiss hii taalauma yangu niliyo nayo kisa hizi habari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo hizo Taasisi ndio zenye mpunga mrefu Tanzania ...?Acha masihara mzee, utumishi wamesaidia sana kuondoa ukiritimba, mimi nna washkaji zangu wamepata kazi kupitia utmishi, tena taasisi za mipunga mirefu TPA, TPDC na TRA. By the way utumishi wao wana oversee tu mchakato mzima wa ajira kuondoa rushwa, kwenye ile panel ya interview watu wa utumishi wanakua wawili tu, wengine ni experts wanaotoka kwenye taasisi husika.
15 × 60000 = 900000/= uzuri wake hii laki 9 ukatwi hata mia. Kuna watu wanafaidi aisee.
Cha ajabu ukishaanza kuipata unaiona ndogo, unaona walio juu yaku ndo wanafaidi.15 × 60000 = 900000/= uzuri wake hii laki 9 ukatwi hata mia. Kuna watu wanafaidi aisee.
Nyie vijana wa juzi apo utumishi ni washamba sana. MMetolewa chitoholi , jaribuni kuishi na watu vizuri,Badala ujiandae vizuri na interview, unakomaa kuwapiga majungu PSRS.
Hilo connection uliyonayo huko kwenye hiyo taasisi komaa nayo wakupe ajira hata ya mkataba. Utumishi wanafanya kazi nzuri.
Kwa halmashauri na wizarani huu ni mshahara wa afisa mwenye degree aliyefanya kazi miaka 5.
Kwan kazi ya serikali ni nini???Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection