HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hayo maswali yao ya kukariri umention ndio
Uhukumu hana vigezo?waache roho ngumu wawape vijana kz mtu kapambana wrttn prac kafika oral bado tu hana vigezo? Ujinga
Nchi hii kuendelea ni ngumu, bungeni kigezo mtu ajue kusoma na kuandika lakini huku kwengine mtu unakaziwa. Kiukweli kuna mahali hii nchi inakilema cha laana.
 
Kwan kazi ya serikali ni nini???
Kwann isihakikishe hakuna hyo kitu kwa kuset examples...kwa atakaebainika kamchomeka mtu wake wa karibu kwa njia za panya apoteze kazi (Atumbuliwe) uone kama hayo mambo yatakuwepo
Sasa kuendelea kulalamikia hizi mambo eti kuna nepotism...sasa kama tatzo lnafahamika kwann lisizuiwe na hatua kali kuchukuliwa???
ni kama hii ya unakuta tangazo linalotoka utumishi kwenyewe kwamba linahtaji watu 20...halaf wanaitwa 12...hao nane huwa wanapatikanaje tena?? Wanajazwa vp?? Hizi ni mambo pia za kuwekwa wazi kuliko kuwaacha vijana na mawazo kibao.........mmeitisha watu 20 zionekane ni nafasi 20 zmeenda kwa walengwa ....kama ufaulu haukuwa mzuri nayo iwekwe wazi kwamba nafasi nane zilizobaki ufaulu haukufikiwa.....means hapo na kwenye kanzidata hao ambao hawakuitwa watakuwa hawapo maana ufaulu haujafikiwa au imekaaje hii???
Mkuu taasisi kuajiri wenyewe ni shida.
2015 niliomba kazi taasisi X, majina yalipotoka sipo. Nikampigia simu kaka yangu aliyeniambia niombe ile nafasi. Akaniamba ngoja amcheki Classmate wàke anaefanya kazi kwenye ile taasisi X makao makuu. Baada ya muda akanipigia akaniambia siku ya interview nibebe vyeti niende hata kama jina halipo. Nilipoenda Siku ya interview nakuta jina langu la mwisho limeandikwa kwa pen majina mengine yote yako typed. Nikaingia nikapiga paper.
 
Vigezo anavyo lakini sio vigezo anavyotaka mwajiri


Mtihani wa written ni mchujo. The actual interview ni oral au practical kama ipo. Na ndio maana matokeo ya written yanabaki huko hayahusiani kabisa na oral.
Sasa hao walifaulu practical. Kwa mimi naona wale wanaofanya na usaili wa vitendo mfano mafundi, madereva kama amefanya WRITTEN amepita na akafanya practical amepita ila oral akafeli kama idadi inayotakiwa haijafika wachukuliwe wote yaani kama taasisi inataka watu 50 na baadaya ya kufanya practical mkapita 50 au pungufu basi hata kama oral watafeli wachukuliwe wote ila kama taasisi inataka watu 50 ila oral wakaingia watu 70 basi wachukua hao 50 watakao fanya vizuri. Navyo jua mimi usaili unaohusisha videndo sehemu kubwa ya majukumu yake yapo kwenye practical mfano dereva au fundi bomba
 
Acha masihara mzee, utumishi wamesaidia sana kuondoa ukiritimba, mimi nna washkaji zangu wamepata kazi kupitia utmishi, tena taasisi za mipunga mirefu TPA, TPDC na TRA. By the way utumishi wao wana oversee tu mchakato mzima wa ajira kuondoa rushwa, kwenye ile panel ya interview watu wa utumishi wanakua wawili tu, wengine ni experts wanaotoka kwenye taasisi husika.
Watu kuwa na majibu kabla ya interview je 😅, mbona Hilo ulizungumzii.
Mmekula per dm sana, Sasa ni muda wa kupumuzika
 
Kwann Rais siku ile aliona kama utumishi kuna shda???
Hadi akasema kuna mlolongo mrefu akasema taasisi kama zinao uwezo znakaendeshe tu michakato ya ajira zenyewe...hapo bado unawaona wanaosema taasisi kama znaweza zifanye mchakato zenyewe ni hamnazo?
HUyu jamaa ni mkandaji 😁, anawaza pedium zitapungua , uncle stucka
 
Na mara nyingine hizo nafasi hubaki wazi bili kujziwa zikapotezewa mazimaa ilihali vijana wapo waliofaul...unajiuliza ss lengo ni watu wapte kz au wafeli wakose kz
Taasisi husika huwa ndio inaamua kama mtu atolewe database au ifanyishwe interview tena... Taasisi zingine hazitakagi watu wa database.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taasisi husika huwa ndio inaamua kama mtu atolewe database au ifanyishwe interview tena... Taasisi zingine hazitakagi watu wa database.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio mana unaona muda mwingine kuna post huwa zinakua advertised na unajiuliza mbona database watu wa hio kada most likely wakawepo, ukiona hvyo jibu ni kwamba taasisi husika haijataka watu kutoka database kwa kada hio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAJINA YAKIWA 2 KWENYE VYETI VYA MUAJIRIWA MPYA

Nyaraka zote muhimu za taarifa binafsi, ziwe na majina matatu ya muhusika mfano cheti cha
kuzaliwa na vyeti vya taaluma.

Endapo jina mojawapo halipo katika vyeti basi atahitajika kuwa na kiapo kilichothibitishwa na Msajili wa Hati (Deed Poll) kutoka Wizara ya Ardhi
 
Taasisi husika huwa ndio inaamua kama mtu atolewe database au ifanyishwe interview tena... Taasisi zingine hazitakagi watu wa database.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnavyozizungumzia hizo taasisi utadhani zenyewe zpo chini ya serikali nyingine.
Hazithibitiki......
Zipo juu ya utumishi[emoji19]

Hazina wa kuzicontrol na kuziwekea mipaka fulani ktk utendaji kazi wake.....
 
Back
Top Bottom