Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
hii ni kweli kiasi kuna point psrs wanajichanganyaga lkn vipanga wanapenya sana aysee.Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.
Unajua ni kwanini?
Ktk hii michakato kuna siasa.
Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.
Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?
Kuna Madudu sana huko
Inawezekana wanalalamika ili warudishiwe rungu waendelee kutugonga watoto wa masikini tusio na connection .