Kulikuwa na watu 7 mzee. hadi unatamani kulia haha hahaKwa kada zetu hizi za teknolojia ndo balaa waulize walioingia kwenye hizo saili
Kulikuwa na watu 7 mzee. hadi unatamani kulia haha hahaKwa kada zetu hizi za teknolojia ndo balaa waulize walioingia kwenye hizo saili
Hapa tatzo Mi naona ni wingi wa course kuruhusiwa kuomba baadhi ya kazi na kuwa nauhusiano wa Mbali na Kazi hizo so akifanikiwa kuajiriwa lzm awe low Kucapture baadhi ya Mambo lkn kadri anavyokuwa Kweny Ofisi itafika sehemu atakuwa mtamu tu hakuna shida- Yeah to some extent, Kuna ofisa mmoja mstaafu wa TRA,alihojiwa (jina lilihifadhiwa) Kuhusu Psrs akasema eti kuwa wanaletewa Watu wenye uwezo mdogo Sana, hawajui Kazi, ufanisi mdogo that is to say ni Vilaza.
😄😄😄 acha kabisa mkuu ndio maana nasisitiza kama mtu hana ujuzi au ufahamu juu ya jambo fulani ni vyema akawa mtulivuKulikuwa na watu 7 mzee. hadi unatamani kulia haha haha
FActHapa tatzo Mi naona ni wingi wa course kuruhusiwa kuomba baadhi ya kazi na kuwa nauhusiano wa Mbali na Kazi hizo so akifanikiwa kuajiriwa lzm awe low Kucapture baadhi ya Mambo lkn kadri anavyokuwa Kweny Ofisi itafika sehemu atakuwa mtamu tu hakuna shida
Toa mfanoHapa tatzo Mi naona ni wingi wa course kuruhusiwa kuomba baadhi ya kazi na kuwa nauhusiano wa Mbali na Kazi hizo so akifanikiwa kuajiriwa lzm awe low Kucapture baadhi ya Mambo lkn kadri anavyokuwa Kweny Ofisi itafika sehemu atakuwa mtamu tu hakuna shida
Nilishawai kukuta na mwamba ana Cheti cha SUA tupo kwenye Foleni ya kuingia kwenye Interview za TRA.FAct
Kuhusu SUA, hao ni graduates wa MUccobs, Kwa sabbu Kuna kipindi MUccobs ilikuwa chuo kikuu kishiriki Cha SUA, na vyeti vikawa vinatolewa Kwa jina la SUA,Nilishawai kukuta na mwamba ana Cheti cha SUA tupo kwenye Foleni ya kuingia kwenye Interview za TRA.
Anaweza kuwa vizuri Kwa kujisomea mwenyew lkn akipata Kazi kdg kuna vitu Mwanzo lzm atateseka kdg Kwa sababu course yake haiendani Kwa Asilimia kubwa na Kazi aliyopata.
Makosa yapo kwenye Qualifications za Uombaji Related fields/Couses hiki ndy Kitu kinacholeta watu wengi wasiostahiri (lkn Kwa Nchi yetu Kazi nyingi mtu yoyote anaweza kufanya ni Swala la Muda tu wa kujifunza awapo kazini Kazi ubayoifanya kila Siku hata km ulikuwa Zero kuna muda utafika 100{specialised tu})
Kasoma courses ipi au hao Muccobs walikuwa wanatoa course ipi ambayo Unaweza sema ni Related na taxation, accountancy, public finance ?Kuhusu SUA, hao ni graduates wa MUccobs, Kwa sabbu Kuna kipindi MUccobs ilikuwa chuo kikuu kishiriki Cha SUA, na vyeti vikawa vinatolewa Kwa jina la SUA,
Ndy Ukweli huo Jamaa aache kusema watu vilaza wkt anajua nao wanaruhusiwa kuomba na kufanya interviewAliyepata kapata,cha msingi zinapotokea interview ni kupambana tuu.
Umejibu nilichouliza? Uliulizwa vitu ulivyoandika ktk CV? au walikuwa na Maswali yao? na hawakugusa kitu kutoka ktk CV.Kwa kada zetu hizi za teknolojia ndo balaa waulize walioingia kwenye hizo saili
dah we jamaa bhana anyway subiri uulizwe kutokana na CV yako mi binafsi sina la kuongezea mkuu😊Umejibu nilichouliza? Uliulizwa vitu ulivyoandika ktk CV? au walikuwa na Maswali yao? na hawakugusa kitu kutoka ktk CV.
Wanatoa bussines nasikiaKasoma courses ipi au hao Muccobs walikuwa wanatoa course ipi ambayo Unaweza sema ni Related na taxation, accountancy, public finance ?
Hamfahamu kuwa Muccobs wanatoa wahitimu wa Accounts?Wanatoa bussines nasikia
Ushawahi ingia sahili za International Org? au taasisi za sekta binafsi wanaojielewa? Lazima wapite na CV ndio maswali yao yanapigika humo sio kuwa na maswali ambayo yapo formulated.dah we jamaa bhana anyway subiri uulizwe kutokana na CV yako mi binafsi sina la kuongezea mkuu😊
Sasa kupita na CV ndio unampima mtu kuwa yupo competence? Kwani CV si ndio unakalili kiurahisi?Ushawahi ingia sahili za International Org? au taasisi za sekta binafsi wanaojielewa? Lazima wapite na CV ndio maswali yao yanapigika humo sio kuwa na maswali ambayo yapo formulated.
huwezi kuta unamaliza usahili au unataka uingie ktk sahili alafu unyang'anywe simu sijui mtengwe (ili msipeane majibu) hakuna huo upuuzi hata mtu akitoka hawana muda na ww. maana wanajua maswali yapo tofaut kwa kila msahili.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sijui tufanyaje yaniNaona God bless Lema anafunguka vitu konki boda boda sio ajira ni laaana .
Kusajiri line sio ajira dadeki sijui tufanyeje sisi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kijana,wapi nimeandika neno UGUMU/NGUMU????Sasa kupita na CV ndio unampima mtu kuwa yupo competence? Kwani CV si ndio unakalili kiurahisi?
Mbona unataka kuthibitisha ule msemo wa kila mvuta kamba anavutia kwake? Na sio msukuma kamba?
Sawa unadai maswali ya CV ni magumu je unadhania una argue nao humu hawajawahi kufanya interview za INGOs, NGOs na government? Na kama ndio wamewahi kufanya utawabishia wao kuwa kutokana na uzoefu wao wa interview kuwa za serikalini ni ngumu? Kama wewe unavyodai kuwa hizo za IGNOs and NGOs ndio ngumu?
Nani hasiyejua kuwa hata hizo interview wanaangalia jinsi gani una clam na kutema ulicho meza? Una weza kuniambia maswali ambayo unahisi siyo ya kukalili? Na je, utampimaje mtu kama ni mahili kwenye hiyo nafasi kwa maswali tofauti na mwenzake ilihali ni position moja? Hauoni kuwa hiyo ni BIAS.
Je, swali la Tell us about yourself ni la CV au siyo CV? mbona unajitoa ufahamu na kujiona wewe tu ndio Kila kitu na umefanya usaili pande zote peke yako?
Kubali kubadilika au simamia unachokiamini lakini bila kupuuza au kushusha uwezo wa sehemu nyingine au uwezo wa mtu ambaye anafanya kazi sehemu nyingine.
Kila eneo Lina weakness yake, na hakunaga sehemu ambayo hakuna mapungufu au hujui kuwa hizo sehemu unazoona zinachukuaga watu competent kuwa wanafuataga tu formality sometimes?
Sijapalamia post/comment zako humu maana hili ni jukwaa huru la kutoa mawazo na ndio maana kinaitwa jamii forum na sio Binafsi forum.Kijana,wapi nimeandika neno UGUMU/NGUMU????
Sijaweka ulinganifu wowote wa Ugumu ktk sahili. nioneshe wapi nimeweka ulinganifu wa UGUMU.
nimeandika kwamba Sahili hazina viwango (sahili za PSRS oral) ndio maana nikaweka mfano wa kufanya reference ya CV wakat wa kumsahili mtu, wao hawafanyi hilo na nimeingia oral 3. kuanzia December 2022 til leo. na nimefanya Oral ya NGO na INT org zingine before PSRS interview and after psrs interview so nina experience.
Unajua ni kwanini Ukiomba kazi watu wanawapunguza (shortlisting) kulingana na CV????? em nijibu hili swali kwanini ukiomba kazi wengine wanaitwa na wengine hawaitwi ukizingatia ktk Majibu (feedback) wanakwambia ONLY qualified candidates will be contacted for Interview! unajua nini maana ya Qualified? hali ya kuwa umeweka only CV.??
Jitahidi uwe unasoma mtiririko vizuri kabla hujaparamia post ya mtu.