😅😅😅Kukosa kazi (kwa muda mrefu) kuna sababisha mtu kua mkali. Angalia hali ilivyo humu
Vijana wapewe kazi kwa kweli, jana mm mwenyew nilikumbana na vijana wenye makasiriko, hawaelewi, wana hasira mda wote.Kukosa kazi (kwa muda mrefu) kuna sababisha mtu kua mkali. Angalia hali ilivyo humu
Umejibu nilichokuuliza au unaendelea kulalamika?Sijapalamia post/comment zako humu maana hili ni jukwaa huru la kutoa mawazo na ndio maana kinaitwa jamii forum na sio Binafsi forum.
Post zako nyingi zinaonyesha how una shusha interview za utumishi na kupandisha za INGOs au NGOs.
Kumbuka pia watu waliochangia humu wengi wao walishafanya interview pande zote na kuona wapi ambapo kwao ni bora. Kwahiyo heshimu mawazo ya Kila mtu humu regardless hoja yako ya kusailiwa kwa kufuata CV au bila kufuata CV
Swali lako ni SUBJECTIVE maana ni ngumu sana kuamini kwamba wote waliomba kuwa hawako qualified. Unaweza ukawa qualified na usiitwe na ndio maana PSRS wanaita kila mtu ukapambane mwenyewe.
Au haujawahi kuona watu wanalalamika NGOs/INGOs fulani wanahitaji watu wenye sifa hizi na hizi na mtu huyo anazo na hata zaidi ila haitwi kwenye usahili unadhania hajakidhi vigezo? Ukijua jibu la hili swali pia nadhania tutafunga mjadala wako.
Na umeshawahi kujiuliza kwanini hizo hizo INGOs na NGOs zikitangazaga nafasi za volunteers au internships ambazo zinahitaji zero experience wengine wanaachwa? Ukijua sababu hautatoa malalamuko yako humu.
Ngoja nidownload app kwanza nioneKuna raia ananisumbua dm anasema wamemuandikia (new) kwenye kipengere cha placement kwenye app, nimekosa cha kumjib kuna mwenye same scenario.?????
Ngoja nidownload app kwanza nione
Asee mi nimeshindwa comment uzuli uwa anasoma huu uzii, so nimemwambia sometimes izi changes zipo kwa wote my b niwaulize members.Inawezekana kalamba asali
Bac itakuwa kwa wotee.Hata mm nmeandikiwa hvyo[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hata mm ni hyo hyo new...sasa sjui inamaanisha nnKanitumia hio mm sina app now so sifatilii tena izo vitu.
Mi sijaandikiwa hvo aseeBac itakuwa kwa wotee.
Wame andikaje kwako.Mi sijaandikiwa hvo asee
No placement available for you ahahahaWame andikaje kwako.
tuma screenshot kaka.No placement available for you ahahaha