HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wale wanawake wenye kucha ndefu na pozi kule private sector ambao kama yupo chini yako ukimwagiza anagoma kwa kiburi cha boss PSRS hukandwa vibaya sana yaani ni mwendo wa RECEIVED na NOT

PSRS endeleeni hivyo hivyo wakandeni mabinti wa uturuki

Wanao deserve wapite kwa roho nyeupe wakaijenge nchi
😂😂 Bro walikufanya nn hao mabinti za watu
 
Katika records toka maktaba, inaonesha wale wanaoulizia sana kuhusu maendeleo ya status punde tu toka wamalize sahili zao za oral huwa pdf likitoka mara nyingi wanalamba asali, pdf lako likitoka utakuwemo.

Pia, kuna zile ID mpya huwaga zinakuja kwa kasi sana kuhusu maendeleo ya stutas pindi pdf likikaribia kutoka ama hupata za ndani au ni wanusaji wazuri, nao pia mara nyingi hutokea katika pdf. Kwahiyo, ikifika tu time ukaanza kuona kuna ID zinakuja kasi sana humu kuhusu status jua muda umefika, pdf liko mlangoni.
kwahiyo hao huwa wanakwepo na taarifa tayari au ni namna gani???
 
Ivi mtaalam huko NAOT mna Extra duty allowance kila mwezi? au kusipokua na kazi ya field huo mwezi husika ni mshahara hadi mshahara?

Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuh 😂😂😂😂😂😂😂 hili swali ni personal sana ukizingatia mtu ndio kwanza ana mwezi mmoja kwenye utumishi

tunapoelekea hapa kuna siku mtu atakuja kuulizwa posho ya mwezi fulani ulipewa shilingi ngapi😂😂😂😂😂
 
kwahiyo hao huwa wanakwepo na taarifa tayari au ni namna gani???
Mkuu natumaini utakua unafatilia uzi huu kwa muda mrefu, utashuhudia haya.

Kundi la kwanza naamini hawa huwa na uhakika na kile walichokijibu katika panel, kwa kiasi kikubwa wanakua na shauku ya maendeleo ya stutus kujiridhisha na uwezo waliouonesha.

Kundi la pili hili la ID mpya hili ndo bado itabidi tulifanyie kazi, maana wanaibukaga kwa kasi sana na issue za status na utabiri wa kutoka kwa pdf, nahisi hawa huwa wanafahamiana na wat walioko ndani. Ntakupa mfano hai, kuna kundi kubwa liliibuka hapa karibia na kutolewa pdf la TRA, wengi walilamba asali, wakatokomea walikokua awali. Kadhalka katika kada nyingine, mambo hua hivyo hivyo.
 
kundi la kwanza kwa ufafanuzi nlivyokuelewa ndio wale ma hustlers wenyewe au vipi

hilo kundi la pili naona hata wewe bado unajiuliza kama mm ninavyoendelea kujiuliza

lkn kuna kundi la tatu humu naona ndio hilo kuna watu wamenielewesha pia kwamba ni wafatiliaji wazuri na wapo makini sana kwa sababu wamefanya saili za kutosha na wanaumakini kwenye ufatiliaji ndio mana wanaweza pia kutabiri pdf la taasisi flani linanukia na inakua kweli nawapongeza sana hilo kundi pia mm naliweka kwenye team hustlers

hilo la pili wanaoibuka na kutoweka ndio halijaeleweka hadi sasa mzizi wake ni wapi au ndio kundi la akina "low key" people😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom