yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Tisha sana boss[emoji119],mm hapo spo hata moyaaaa,najua zikiisha hizo na ss MDA LGA tupo njian,ndoman napenda hiz update nifatlie28/November-December 01/2022.
Placements zilizopo njiani,muda wowote lolote linaweza kutokea kutoka PSRS...
[emoji3504]TAEC
[emoji3504]ARIMO
[emoji3504]OUT
[emoji3504]IAA
[emoji3504]RUWASA
[emoji3504]SUA
[emoji3504]MoCu
[emoji3504]TMC
yesamrich hii ngoma nadhani mpaka mwezi ujao,lakini Kwa kuwa mwezi haujaisha lolote linaweza kutokea....