HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ivi mtaalam huko NAOT mna Extra duty allowance kila mwezi? au kusipokua na kazi ya field huo mwezi husika ni mshahara hadi mshahara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sijajua kuhusu extra duty(over time).

Huku hatuhudumii watu ambapo unaweza kusema, leo kuna nyomi ngoja nivute muda ili uhudumie wote ambapo ndio tunasema overtime.

99% field ndio inapatia marupurupu
 
Baada ya pdf kutoka sasa, kuna zile ID nyingine mchanganyiko (Member, Seniour or JF expert) sasa nazo huibuka kushuhudia tu. Hawa huwa na kauli zinazofanana, " Japo sikua mchangiaji, na mimi nashuhudia nimelamba asali". [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kikubwa lengo letu kuu la kuhamasisha kupambana linaendelea kuchanja mbuga na kutimia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kikubwa lengo letu kuu la kuhamasisha kupambana linaendelea kuchanja mbuga na kutimia
Yeah, lakini nafikiri hawa wadau huwa wana kitu wangeweza kushirikisha humu kabla ya mchakato, ungeweza saidia wengi humi, siamini kama wao ndio hujifunza tu humu pasipo kua na vitu muhim kuchangia kwa manufaa ya wengine wengi.
 
Ukweli wa siri ni kumtanguliza muumbaji kwanza,then fanya maandalizi ya kutosha,kua smart kimuonekano, mule ndani kwenye pannel uwe na confidence ya kutosha ata kama english ya primary tumia tu hiyo hiyo hua wanaangalia vitu vingi.Ukweli maswali yote sikumaliza point walizokua wanahitaji ila nimetokea kwenye pdf la mama.
 
duuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili swali ni personal sana ukizingatia mtu ndio kwanza ana mwezi mmoja kwenye utumishi

tunapoelekea hapa kuna siku mtu atakuja kuulizwa posho ya mwezi fulani ulipewa shilingi ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee hata kama una mwezi mmoja obvious utajua hizo ishu, af nimeuliza kama kuna posho sijauliza exact figure sasa hapo kuna upersonal gani? Af kingine mimi sipo miongoni wanaotafuta kazi kama unavyofikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom