mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,003
- 2,294
Aiseee mm nlijibj maswal yote,hadi nisoyoyajua kuna mda nkawa nafkria points mpaka madam akawa anasema umebakiza dkk chache try to be fast. Af sasa najib kwa kujiamin[emoji1787][emoji1787]moyon najua kipengele hiki sjakisoma kbsa.
Namuomba Mungu anitendee maajabu nifaulu regardless ya nlichojibu.
Andaa suti.