Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
Daaaa, Mungu atusaidie sanaa waje wabadilishe salary scale aisee.Tz unafuu wa mishahara angalau uwe mtumishi wa mashirika ya umma,huko kwingine range ni zilezile tofauti huanzia kwenye fursa zilizopo.halmashauri ndio kabisa sonona itakuua