HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Have a little more faith.....MDA&LGA waliofanya interview juzi Dodoma....walisubiri kwa miezi 6 kuwa shortlisted tu kwa ajili ya Oral.....Your time is coming.....Have a little more faith.
Niliwahi kupata kidokezo sehemu kuwa, idadi ya watu wanaotuma maombi huwa ni kubwa sana ingawa sisi huwa tunashangaa idadi ya wanaokuwa shortlisted kwa written.

Muda uliotumika kuchambua maombi ya MDA & LGA ni sahihi kabisa.

Hapa huwa tunalalamika lakini hatujui jinsi wanavyohangaika kutimiza kazi zao huko ili kila mmoja aweze kupatiwa haki yake anayostahili.

Mimi natoa wito kwa Sekretarieti ya Ajira waongeze nguvu kazi au waboreshe mfumo wa kuchambua maombi ya kazi ili waweze kumaliza kazi kwa muda mfupi.
 
Hahahaha Mkuu,Sasa Mimi naendelea kusubiri tu,maana naona Sasa hamna Yale mambo ya First In- First Out...
Tuendelee kuvuta Subra tu..
Kama ipo ipo tu,kama sio Wakati basi Subra ni muhimu pia.
Hawa jamaa siku hizi wanatumia ile mfumo unaitwa Last In First Out. Usichoke katika hiko kitengo, mpaka wafanikishe.
 
Unatakiwa kusema hivi "kwa upande wangu naona status hazina maana"
Land Surveyor akikwambia mtu status haina maana baada ya oral muulize akikutana na Not Selected atajisikiaje ?.

Kufaulu oral haina maana lazima upate kazi inawezekana ukafaulu na usipate kazi au ukawekwa database na ukapangiwa baadaye lakini ukutane na not selected useme utakuwa na amani kama alivyo ambaye hana hiyo NOT. Inabidi tupate evidence ya uhakika sana ambapo mwenye not selected kwenye app baada ya oral akalamba asali ndiyo tuseme hazina maana lakini nje ya hapo ni kitendawili na zina maana.
 
November-December 01/2022.

TAEC
ARIMO
OUT
IAA
RUWASA
SUA
MoCu
TMC

Naona Kuna wadau wengi pia mwasubiri Placements ya hizo Taasisi pia...
Sekretarieti ya Ajira Bado na sie hatujafikiwa,tunawasubiri wakuu wetu.Poleni sana na Majukumu.Tunaenda kumaliza mwezi Sasa.Tunafurahi kuona vijana wenzetu waliofikiwa na kujua hatma zao wakifurahia kazi yenu nzuri mnayofanya.Hongereni sana,Kwa kazi nzuri.Sasa hii Kasi mliyonayo ni Kubwa sana,naona February placements za kutosha zimejaa na zitajaa sana.
#Kazi iendelee
 
Wadau naomba kutoa mrejrsho nilifanya oral ya utafiti wa kilimo ila sikubahatika kwa sasa kupata nafasi wamepata rafiki zangu and am proud of that kwasababu fairness ni kubwa na wametangulia nasi tunafuata na hatujyi nn Mwenyezi Mungu ametuandikia mbeleni, kutokana na uchache wa nafasi wameitwa waliohitajika na wakati wao umefika. Kuna nyakati kunakaugumu kidg kakupokea oral results haswa ukiweka matarajio makubwa sana lkn yatupasa kukubaliana na uhalisia kwasababu ya uchache wa nafasi na yalio mbele yetu ni mema zaidi. Tuendelee kusubiri placements..... Kuna siku tutakuja na shuhuda za wakati wetu husika, tusikate tamaa Mungu ni mwema kwetu sote na sote kwa pamoja tutafika tu kwa wakati wetu husika. Vijana tusiogope am gud now kwasababu sikuweka tarajio kuubwa sana na Namshukuru Mungu pia nina mikeka inanifuatia mbeleni. Kanzidata pia ipo so tuishi kwa imani,
Ahsante kwa mrejesho mkuu.

Mapambano yaendelee
 
Sio kufufua kufufua tu mada ya status, bado tunamdai "screen shot" hajatuma. Na wengine wakija hapa wasisahau kuambatanisha "screen shot" ya status.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Land Surveyor akikwambia mtu status haina maana baada ya oral muulize akikutana na Not Selected atajisikiaje ?.

Kufaulu oral haina maana lazima upate kazi inawezekana ukafaulu na usipate kazi au ukawekwa database na ukapangiwa baadaye lakini ukutane na not selected useme utakuwa na amani kama alivyo ambaye hana hiyo NOT. Inabidi tupate evidence ya uhakika sana ambapo mwenye not selected kwenye app baada ya oral akalamba asali ndiyo tuseme hazina maana lakini nje ya hapo ni kitendawili na zina maana.
Umeongea kwa hisia sana mkuu 🤣
 
Back
Top Bottom