HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
NAKAZIA
*Hakuna sehemu status zimefafanuliwa ila watu wengi tunaamini ikiwa status yako itaendelea kusoma SELECTED FOR oral baada ya kufanya Oral interview means umefaulu interview na kuna mawili either upate placement au uwe reserve kwenye Database.....ila ukiwa na NOT SELECTED FOR Oral means haukufaulu Oral interview, means hujapata placement na jina lako halitaingia kwenye database ya usaili huo
Tulishakubaliana hilo mkuu, japo nazo sio za kuziamin aslimia 100 but zinatoa mwanga flani hivi.
Kama mm nmeandkiwa selected for oral bt siwez kaa nikaanza furah au kujiaminisha kua ndo nmepata mana kuna alot of factors kama tulivodiscuss kule juu.
Mm binafsi nakuelewa.
 
Sio kufufua kufufua tu mada ya status, bado tunamdai "screen shot" hajatuma. Na wengine wakija hapa wasisahau kuambatanisha "screen shot" ya status.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kauli mbiu ni SCREENSHOT sio
 
Sio kufufua kufufua tu mada ya status, bado tunamdai "screen shot" hajatuma. Na wengine wakija hapa wasisahau kuambatanisha "screen shot" ya status.
Nadhani wengi wetu tunapitia Ile Hali ya kama wanafunzi,si unajua ukifanya mtihani wa Form 4 Ile unasubiri matokeo,au ukiwa chuo unasubiri matokeo na unahofia SUP,hii Hali humkuta yoyote yule,ndio maana Kuna presha sana na story ya Vitu vinavyosubiriwa ndio inakuwa Kubwa sana.
 
God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after several attemps since 2020. Research Assistant, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Hongera sana mkuu, ukawe Mtumishi mwema na ukachape kazi.
 
Nadhani wengi wetu tunapitia Ile Hali ya kama wanafunzi,si unajua ukifanya mtihani wa Form 4 Ile unasubiri matokeo,au ukiwa chuo unasubiri matokeo na unahofia SUP,hii Hali humkuta yoyote yule,ndio maana Kuna presha sana na story ya Vitu vinavyosubiriwa ndio inakuwa Kubwa sana.
Haina nouma mkuu, kitengo cha kuwakumbusha psrs kuhusu pdf la November nimekuachia wewe, mimi kama mimi nakaba hiki kitengo cha SCREENSHOT.
 
Haina nouma mkuu, kitengo cha kuwakumbusha psrs kuhusu pdf la November nimekuachia wewe, mimi kama mimi nakaba hiki kitengo cha SCREENSHOT.
Hahahaha Mkuu, Sasa Mimi naendelea kusubiri tu, maana naona Sasa hamna Yale mambo ya First In- First Out. Tuendelee kuvuta Subra tu..

Kama ipo ipo tu, kama sio Wakati basi Subra ni muhimu pia.
 
Back
Top Bottom