HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau naomba kutoa mrejrsho nilifanya oral ya utafiti wa kilimo ila sikubahatika kwa sasa kupata nafasi wamepata rafiki zangu and am proud of that kwasababu fairness ni kubwa na wametangulia nasi tunafuata na hatujyi nn Mwenyezi Mungu ametuandikia mbeleni, kutokana na uchache wa nafasi wameitwa waliohitajika na wakati wao umefika. Kuna nyakati kunakaugumu kidg kakupokea oral results haswa ukiweka matarajio makubwa sana lkn yatupasa kukubaliana na uhalisia kwasababu ya uchache wa nafasi na yalio mbele yetu ni mema zaidi. Tuendelee kusubiri placements..... Kuna siku tutakuja na shuhuda za wakati wetu husika, tusikate tamaa Mungu ni mwema kwetu sote na sote kwa pamoja tutafika tu kwa wakati wetu husika. Vijana tusiogope am gud now kwasababu sikuweka tarajio kuubwa sana na Namshukuru Mungu pia nina mikeka inanifuatia mbeleni. Kanzidata pia ipo so tuishi kwa imani,
Kuna majira na wakati sahihi Mungu atakuinua nina imani tutakuja na shuhuda humu.
 
Naimani ,Asa,NIRC Na MDAs umo sema saiz naona wameacha mfumo wa multiple placement mkuu so usife moyo tutatusua
 
Lakini kuna mdau humu alisema kuna watu walishauliza kuhusu status wakajibiwa na psrs hazina maana wala uhusino wowote na placement.
achilia hili bado watu wana the same status lkn matokeo yanakuja tofauti yaan wengne wanapata kazi wengine wanakosa
bado tu tusiamini. ?
 
Hapana mkuu tulifanya written to oral, na kwa ninaowajua waliopata wengi hawakuongoza written isipokuwa walikuwa kwenye cutting point za kawaida tu, haya Mambo ni wakati wa Mungu tu ukifika na namna hiyo siku maswali yatakavyokujia,
Akili kubwa.
Wakati wako unakuja siku sio nyingi. Mkuu, ubarikiwe sana. Naamini soon nawe utalamba Asali ya Nyuki wadogo na wakubwa pia.
 
NAKAZIA
*Hakuna sehemu status zimefafanuliwa ila watu wengi tunaamini ikiwa status yako itaendelea kusoma SELECTED FOR oral baada ya kufanya Oral interview means umefaulu interview na kuna mawili either upate placement au uwe reserve kwenye Database.....ila ukiwa na NOT SELECTED FOR Oral means haukufaulu Oral interview, means hujapata placement na jina lako halitaingia kwenye database ya usaili huo
 
Back
Top Bottom