Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 305
- 786
Congrats brotherGod is great[emoji120]. It was my fist oral interview after several attemps since 2020. Research Assistant, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Congrats brotherGod is great[emoji120]. It was my fist oral interview after several attemps since 2020. Research Assistant, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Habari,
Kwa nilivyofatilia induction nyingi huwa wanatoa siku 4 mbele toka siku ya tangazo ili watu wafike wengi na huwa reporting inafanyika siku 2 kuanzia jumamosi na j2 then J3 training
Hukutimiza vigezo vya kuitwa usaili,waliitwaga na usaili walifanyia DSM,wapo kazini kitambo sana.Zamani walikuwa hawaweki sababu ya kutoitwa usaili ilikuwa Inabakia RECEIVED tu ndio maana.Unaona sasa. Hata NOT SHORTLISTED hawajaniwekea mimi nikajua ajira zimefutwa. Hizi taasisi za mishahara 4M zina shida sana.
Kuwa unaamgalia kwenye App na sio wenHongereni mnaozidi kupata.
Hizi habari za status bora tusubiri tu PDF maana mimi toka nimeandikiwa SELECTED FOR ORAL haijawahi badilika. Maana zinachanganya tu. Bora tuendelee kumuomba Mungu uku tukiendelea kusubiri PDF.
Nahisi harufu ya Placement Kesho...mazaga one Leo unaona kunauwezekano wa kimulimuli kipya hapo kwa Placement..?
Basi Wafanye hvyo.. tufunge wiki vizuriNahisi harufu ya Placement Kesho...
Mwezi unaenda kuisha hivyo,lolote linaweza kutokea.Tuendelee kuomba Mungu tuwepo.Basi Wafanye hvyo.. tufunge wiki vizuri
Kwahiyo sisi ambao status zimepitia izo stage tuandae suti na tai nyekundu.Ndiyo, ilipitia. Toka null kwenda practical kisha oral.
NB: Usahili wetu haukua na practical.
Kwenye app na kwenye web mimi haijawahi badilikaKuwa unaamgalia kwenye App na sio wen
B
Basi ndo ushaulaKwenye app na kwenye web mimi haijawahi badilika
Kikubwa hasiwepo yule mjomba NOTBasi ndo ushaula
Anza kusheherekea soon mambo yatatick[emoji817][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Oral mlifanya lin?Kwenye app na kwenye web mimi haijawahi badilika
Basi tulia itabadilika tu mbona hzo za wadau wengine nimechangechange na wengine zilichange kuwa Not selected kama walivyotoa ushuhuda humuKwenye app na kwenye web mimi haijawahi badilika
Tulia mkuu kitengo umeshakipata,tulia epuka kuamua ugomvi wa watu mitaani usije pigwa ukaenda na manundu kuripoti Chuo cha Kodi!Nadhani wiki ijayo kuanzia 28th February ratiba ya induction TRA itatoka
Kwa hyo kwenye status ww ambae hujabahatika kupangiwa kazi umeandikiwaje??Wadau naomba kutoa mrejrsho nilifanya oral ya utafiti wa kilimo ila sikubahatika kwa sasa kupata nafasi wamepata rafiki zangu and am proud of that kwasababu fairness ni kubwa na wametangulia nasi tunafuata na hatujyi nn Mwenyezi Mungu ametuandikia mbeleni, kutokana na uchache wa nafasi wameitwa waliohitajika na wakati wao umefika. Kuna nyakati kunakaugumu kidg kakupokea oral results haswa ukiweka matarajio makubwa sana lkn yatupasa kukubaliana na uhalisia kwasababu ya uchache wa nafasi na yalio mbele yetu ni mema zaidi. Tuendelee kusubiri placements..... Kuna siku tutakuja na shuhuda za wakati wetu husika, tusikate tamaa Mungu ni mwema kwetu sote na sote kwa pamoja tutafika tu kwa wakati wetu husika. Vijana tusiogope am gud now kwasababu sikuweka tarajio kuubwa sana na Namshukuru Mungu pia nina mikeka inanifuatia mbeleni. Kanzidata pia ipo so tuishi kwa imani,
Ilikuwaga selected for null, ikajaga selected for practical na sasahivi ni selected for oral interview.(APP)Kwa hyo kwenye status ww ambae hujabahatika kupangiwa kazi umeandikiwaje??
Still ni selected for oral interview or not selected for oral interview?
waliopata ndo waliongoza prac na written au ?Wadau naomba kutoa mrejrsho nilifanya oral ya utafiti wa kilimo ila sikubahatika kwa sasa kupata nafasi wamepata rafiki zangu and am proud of that kwasababu fairness ni kubwa na wametangulia nasi tunafuata na hatujyi nn Mwenyezi Mungu ametuandikia mbeleni, kutokana na uchache wa nafasi wameitwa waliohitajika na wakati wao umefika. Kuna nyakati kunakaugumu kidg kakupokea oral results haswa ukiweka matarajio makubwa sana lkn yatupasa kukubaliana na uhalisia kwasababu ya uchache wa nafasi na yalio mbele yetu ni mema zaidi. Tuendelee kusubiri placements..... Kuna siku tutakuja na shuhuda za wakati wetu husika, tusikate tamaa Mungu ni mwema kwetu sote na sote kwa pamoja tutafika tu kwa wakati wetu husika. Vijana tusiogope am gud now kwasababu sikuweka tarajio kuubwa sana na Namshukuru Mungu pia nina mikeka inanifuatia mbeleni. Kanzidata pia ipo so tuishi kwa imani,