GenerationY
Senior Member
- Sep 12, 2020
- 174
- 325
Dah Kama sio LEO basi ni hadi JUMANNEš„²
Mkuu nachungulia kimtindo ili mambo yasinipite japo hapo Sina taasisi hata moja mkuu.. nadhani hizo ni zenu watu kutoka chuo Cha maji - Ubungoš
š„š„š„š„ Noma na nusu...Kwenye placement inabidi yaondoke matangazo yale ya kuitwa kazini ya tar 14 na 16 ili kupisha mengine mazito mazito[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Kumbe wewe ni December.....Mkuu nachungulia kimtindo ili mambo yasinipite japo hapo Sina taasisi hata moja mkuu.. nadhani hizo ni zenu watu kutoka chuo Cha maji - Ubungoš
Ijumaa Huwa wanatoaga placementsDah Kama sio LEO basi ni hadi JUMANNEš„²
Kweli nimeona Friday 3, February walitoa .pdfIjumaa Huwa wanatoaga placements
Mimi binafsi imehamia katika pdf za matangazo ya kazi, zidondoke nianze kutengeneza "received", nianze kuziba mashimo na kufanyia kazi mapungufu niliyo-observe kama kikwazo. Received zangu za awali nilishamaliza, na placement zimeshatoka.
Sidhani kama hii ndio status ya kua na uhakiki. Mi najua ni status ya kua umekua selected kwa ajili ya oral interview sio kigezo cha kua umepata kaziBasi ndo ushaula
Anza kusheherekea soon mambo yatatick[emoji817][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Mkuu unasscerio kama yangu. Nilikuja kupata mkopo kwenye dirisha la rufaa Ila nilipewa yote 100% Ila ukweli utabaki palepale kuwa web ya Heslb ilinimalizia sana MB zanguhizi ishu za kuchungulia page ya utumishi,zimenikumbusha pindi nasotea mkopo -loan board (helsb) deili nikawa na refreshi page yao, nikaja kupata kwa msaada wa statement ya abduli nondo& Anko magufuli aliposema hela yake haijaisha. wapeni watoto wote hela kufikia ijumaa ,aiseeh kama sio yule mzee sidhani kma kabachela kakuokota ningepata, ngoja niendelee kulima korosho huku Manyoni mpaka pdf ya Psrs itakapo tema
Tarehe 5 FebruaryOral mlifanya lin?
Yeah, kikubwa kusubiri pdf. Maana hakuna mwenye uhakika na maana ya hizo status kubadilika. Cha muhimu kama ulifanya oral ni kuendelea kumuomba MunguBasi tulia itabadilika tu mbona hzo za wadau wengine nimechangechange na wengine zilichange kuwa Not selected kama walivyotoa ushuhuda humu
Wacha tu!Hahahaa nakuona unajionoa Hapo Mzee wa UDSM....Ukisubiri PDF lako la November
Hv na ww ulkuw OUT??[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] Noma na nusu...
Mzee wa OUT naona unahamu nalo sana PDF lako....Sijui wewe ni kada ipi pale
Kirahisi rahisi hvyo mkuu?Vijana ukiona umekandwa sana na interview bila mafanikio tafuta leseni kisha ingia NIT driving course. Omba kazi PSRS kama dereva kutoboa rahisi. Mambo mengine utabadilisha ukiwa kazini
Daah we jamaa umenshtua kinoma..nalisubiria iloooo la TMDABado PDF ya TMDA haijatoka
Hapana RUWASA Moja kaka....Hv na ww ulkuw OUT??
Afisa acha tu, dingi alivoona sijapata mkopo akanambia mfwende rudi nyumbani ,niliwaza sana sema JAH akablesi hata sasa najua JAH atasimama na sisi watafutajiMkuu unasscerio kama yangu. Nilikuja kupata mkopo kwenye dirisha la rufaa Ila nilipewa yote 100% Ila ukweli utabaki palepale kuwa web ya Heslb ilinimalizia sana MB zangu
Basi tuwe wapole tuHapana RUWASA Moja kaka....