HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwenye app mbona hapo kwenye profile completeness wameandika 0.0% badala ya 100%
Na kule kwngine kote hakudisplay chochote

Kuna wanachofanya huko jikoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20230222-185217.jpg
 
Have a little more faith.....MDA&LGA waliofanya interview juzi Dodoma....walisubiri kwa miezi 6 kuwa shortlisted tu kwa ajili ya Oral.....Your time is coming.....Have a little more faith.
Unachoongea ni sahihi ndugu, tuliomba kazi since early June, 2022. Written interview tulifanya 15/01/2023, then oral interview 14/02/2023. Subira ni muhimu kwa kweli. Tuendelee kuwa wavumilivu.🙏
 
Back
Top Bottom