HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Acha tuu mkuu. Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati nilikata tamaa hasa baada ya kuangukia pua NAOT na kutoswa NIRC, ila wa ubavu akanitia moyo nijaribu mara ya mwisho kwani nauli yenyewe ilikua kwa kuunga unga na magari ya usiku na malori. Hatimae Mungu amejibu kilio changu
Hongera mwambaaa.
 
Inaonekana wenye wapenzi wa kudumu wanapata kazi utumishi, ngoja nifanye mpango[emoji23]
 
Kama hawezi vumilia shida Kwa Muda mrefu Ina maana HAKUPENDI.
Mchumba wako akiwa Bado anakaa Kwa wazazi jukumu la kuhudumia sio lako,ila pale unapomchukua ndio jukumu lako.Tatizo vijana wa Sasa tunataka kuwahi majukumu na kufanya vitu vya matarajio makubwa Kwa wanawake ndio maana wanatukimbia wakikosa hivyo vitu..
Tuishi nao kwa akili,kama Leo Sina Kesho ninacho nitamhudumia.Ila isiwe ndio lazima.
mfwende mpina
ukiamua uishi hiyo style pia husioneshe kuwa na wivu nae siku utakaposikia unachapiwa na vijana wenzio mwanamke huwa anahamasika kwanza ndio anautoa moyo wake akikuchoka pia anauwezo wa kuhamasika kwingine hata kama ni mchumbabwako

siku zote maisha hayajawahi kumpendelea mtu yeyote yule

tusikate tamaa tuendelee kusaka tobo hadi kieleweke psrs ni wagumu lkn mnatutia moyo sana mnaopata kazi
 
Back
Top Bottom