HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mungu mwema sana wadau, Mimi pia nimebahatika pdf la TARI....katika waliokua in a very bad place ni mimi. Niwaombee Pia mnaosubiri Neema yake Mungu iwashukie 🙏🏾
Hongera Kwako Piah Kila la Kheri kwenye Majukumu yako mapya
 
Wapo humu Mzee unaweza kuwa unawatag,maana ya kuwepo humu ni kwamba Wametufikia....Na wanasema comments zetu na wanatujali pia.
Kongole kwenu
Sekretarieti ya Ajira kwa kazi nzuri mpaka Sasa,kila mtu kapata Kazi kwenye Taasisi hata ambazo hawakuwahi kuwaza.Hii ni matunda yenu nyie...
Sisi tupo na nyinyi.Mhe.Rais Tunaomba tu PSRS waendelee kuajiri Ajira zote ziwe za mkataba au Permanent.Naimani Sasa kazi kwao itaendelea Kwa kasi zaidi.Kama Bwana Kitenge alipokaa kikao na Mhe.Waziri na kusema amepokea maelekezo basi,Sisi pia tumeona mwezi huu February placements zimetoka Kwa wingi na Kwa haraka,basi tuna Imani Kubwa vijana wengine waliofanya usaili November-December michakato Yao ikiwa mwisho mwisho kwa ajili ya placements zao kuachiwa.
mfwende mpina
 
Acha tuu mkuu. Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati nilikata tamaa hasa baada ya kuangukia pua NAOT na kutoswa NIRC, ila wa ubavu akanitia moyo nijaribu mara ya mwisho kwani nauli yenyewe ilikua kwa kuunga unga na magari ya usiku na malori. Hatimae Mungu amejibu kilio changu
Hongera sana mkuu na pole kwa maswaibu yaliyopita.
 
Acha tuu mkuu. Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati nilikata tamaa hasa baada ya kuangukia pua NAOT na kutoswa NIRC, ila wa ubavu akanitia moyo nijaribu mara ya mwisho kwani nauli yenyewe ilikua kwa kuunga unga na magari ya usiku na malori. Hatimae Mungu amejibu kilio changu
Hongera aisee
 
Back
Top Bottom