mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
Kongolee kwao wote waliolamba asalikuna aliye lamba asali hapa wakuu
Yaaan lkn mbona PDF la Nov halitoki[emoji854][emoji854][emoji854]kuna aliye lamba asali hapa wakuu
Linakuja mkuuYaaan lkn mbona PDF la Nov halitoki[emoji854][emoji854][emoji854]
wapigie mkuuYaaan lkn mbona PDF la Nov halitoki[emoji854][emoji854][emoji854]
Ambao hawajapangiwa kazi bado status zipo vilevile au zmechange[emoji3][emoji3][emoji3]Haya watu mkuye mkuye mtupe ushuhuda hum
Naona mara wapewe wa mbele yakeLinakuja mkuu
Kuna wadau wamefanya internal auditors na Accountant (LGA & MDA) oral toka tarehe 23 Nov 2022, Mpk Sasa mkeka haujatoka, kuwa mpole tuYaaan lkn mbona PDF la Nov halitoki[emoji854][emoji854][emoji854]
Mambo mazuri yanakuja mkuu andaa sutiNaona mara wapewe wa mbele yake
Mara wapewe wa nyuma yake
Yaaan vululuvululu
Lenyewe lnarukwa tu
yaah luteni,ila saiz watakua mpiraniKongolee kwao wote waliolamba asali
Nkajua limetolewa zaga jingine kumbe ni hilihili la TARI
Sawa....Mambo mazuri yanakuja mkuu andaa suti
Hakuna kitu kinachoitwa PDF la waziri wala PDF la database. Kilichokuwepo hao wa database wanapachikwa kwenye PDF hizi hizi za kawaida zinazotoka kila siku mfano kwenye PDF la NPS wapo watu wengi waliotoka database. Mwisho wa siku utakuta wote 1700 wameisha.Mbona PDF la waziri halitoki?
November zimefutwa..Zaga la tari liko hewani.. naona wameamua kutoa za Mwezi wa 12 kwanza zile za November wame-pause[emoji16]
mawakili na wanasheria wa NPS mlisema zimefutwa .juzi hapa zimetoka na wengi wamelamba asali. acha kutishia watu utaua kwa preshaNovember zimefutwa..
Za chini chini.
Kama course yako mama hajawahi ata kuitaja kwenye mikutano basi vita subira kwanza ..