HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuumia Kwa kiasi kikubwa ni Hali na Utamaduni wa Mtu. Katika Maisha nishapitia Nyakati Ngumu zilizofanya muda wote niwe natokwa na machozi tu mpk nikahisi ss huu ndy muda wa kukutana na Israel mtoa Roho. Lkn baada ya kipind hicho kupita na kuendelea kuwa na Uhai mpk ss naamini vitu vyote na Matukio yote yanakuja Kwa sababu Mwenyezi Mungu kapanga iwe hivyo(Nachokiamini km We sio Bora na Huna Imani ni Ngumu kujaribiwa hii ni Kiimani zaidi hata ukirejea kwenye Bible wote waliojaribiwa walikuwa watu wa Imani Sana) . Namna unavyokuwa mwepesi wa kuyapokea Yale Mabaya na kumshukuru Mungu ndy njia sahihi ya kushinda manunguniko na majozi yote utapokosa majina yetu Kweny PDF.
Hakika mungu atafanya wepesi kwenye ugumu.
 
kweli.. sasa hawa utumishi ni bora watoe placement zote za december na november ili mtu ajue kama kakosa au kapata, kuishi kwa stress kuwaza placement sio vzur...

maana mtu anashindwa ku plan mambo yake kwa kuisi labda atakuwepo au hatokuwepo kweny pdf.
Sekretarieti ya Ajira Tunawaombeni basi, November-December tushasubiri sana PDF la placement.
 
usisahau kuwambia kua waanze na mkeka wenye mb 10 mkuu
Wapo humu Mzee unaweza kuwa unawatag,maana ya kuwepo humu ni kwamba Wametufikia....Na wanasema comments zetu na wanatujali pia.
Kongole kwenu
Sekretarieti ya Ajira kwa kazi nzuri mpaka Sasa,kila mtu kapata Kazi kwenye Taasisi hata ambazo hawakuwahi kuwaza.Hii ni matunda yenu nyie...
Sisi tupo na nyinyi.Mhe.Rais Tunaomba tu PSRS waendelee kuajiri Ajira zote ziwe za mkataba au Permanent.Naimani Sasa kazi kwao itaendelea Kwa kasi zaidi.Kama Bwana Kitenge alipokaa kikao na Mhe.Waziri na kusema amepokea maelekezo basi,Sisi pia tumeona mwezi huu February placements zimetoka Kwa wingi na Kwa haraka,basi tuna Imani Kubwa vijana wengine waliofanya usaili November-December michakato Yao ikiwa mwisho mwisho kwa ajili ya placements zao kuachiwa.
 
Yaah luteni
 
inabidi tukupe kazi uwe msemaji wa wasaka asali umetoa maneno ya busara ninaimani psrs wakisoma ujumbe wako mchana saa saba na nusu tunadownload pdf😄😄👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom