HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mawakili na wanasheria wa NPS mlisema zimefutwa .juzi hapa zimetoka na wengi wamelamba asali. acha kutishia watu utaua kwa presha
Yani mimi nikiingia tu oral.zaga halitoki mapema.wadau wakiingia mwezi mmoja tu kitu mweku mweku.

Hata ile presha ishapungua saa izi naona kawaida tu.

So usishangae kuskia goma limefutwa.kawaoda sana hiyo
 
Yaaan hasa Nov 28 yaaan karibu mikeka yote ya kabla na baada inatoka kila uchwao
Ila hii ya Nov 28 kmyaaaa
 
God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Jaman jaman....
Hongera sana
Kalambe asali sasa
Miaka mitatu kitaan imekufunza funza vtu
 
God is great[emoji120]. It was my fist oral interview after after several attemps since 2020. Research Assistant-Agriculture, TARI.
Status: Selected for Oral kwenye web na kwenye App
Hongera luteni kanali, mwanzo mpya na ukurasa mpya wa harakati za kutusua. naona ishu ya status umenijibu bila hata ya kuulizia
 
Jaman jaman....
Hongera sana
Kalambe asali sasa
Miaka mitatu kitaan imekufunza funza vtu
Acha tuu mkuu. Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati nilikata tamaa hasa baada ya kuangukia pua NAOT na kutoswa NIRC, ila wa ubavu akanitia moyo nijaribu mara ya mwisho kwani nauli yenyewe ilikua kwa kuunga unga na magari ya usiku na malori. Hatimae Mungu amejibu kilio changu
 
Back
Top Bottom