HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau naomba kuuliza
Nilifanya oral interview ya jkci placement zimetoka sipo kwenye pdf
je yawezekana jina liwa limebakia kwenye database ?mana status inasoma selected for oral interview
Inawezekana, cha muhimu vuta subra na uendelee na harakati zako.
 
Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheki mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajipa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.

Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
 
Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheko mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajioa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.

Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
Noma sana Mzee,ila Kuna raha yake ku search na kukuta jina lake palee...Asee sema ndio hvyo kwenye kutafuta Kuna matokeo mawili,kupata na kukosa.Muhimu ni kuomba uwe Wakati wako tu...
 
Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheki mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajipa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.

Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha
 
Afu kuna kua na mapigo flan ya moyo yanaumaa🙄
 
Uzuri mkeka ukidondoka, unapiga sala ukiwa una-ushusha, unacheki mara ya kwanza jina halipo, unarudia kucheki mara ya pili jina hulioni, unajipa sekunde kumi, unacheki kwa makini zaidi mara ya nne, jina hakuna, una-search pale juu, unajibiwa result not found.

Unalifuta pdf, unashusha kwa mara nyingine, unacheki kwa makiiini, haujioni. Unajisemea kweli ngoma ngumu.
Ngoma Ngumu,hiyo ilinikutaga kwenye PDF la Polisi asee...Hata hamu ya kuangalia mpira ilipotea🤭
 
Usiombe hilo ndio liwe pdf ulilokua unajipa nalo matumaini, unalishusha mara ya nne, unalicheki jina hakuna, ukicheki upo benchi miaka sita au saba na ndo ilikua received ya mwisho hiyo, unafikiria pdf nyingine za kazi zitashuka lini hupati jibu, machozi hayoo yanatiririka.

Wenye moyo mwepesi wanakosa "content" wanapotea kabisa katika uzi wetu huu pendwa 🤪🤪😂
 
Noma sana Mzee.Hatari na nusu
 
Dah inauma sana mungu awape ujasiri waliopitia hali hii ngumu
 
Back
Top Bottom