HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
BINAFSI hyo stutus ya reserve sijawahi kuona wa kusikia ndio mara ya kwanza. Ila ninachojua TRA walikuwa na uhitaji mkubwa sna ndio maana watu walichukuliwa wengi kuliko hata nafasi zilizotangazwa.
Okay mimi kuna mtu ndio aliniambia mimi hata sikufanya ila mwaka huu ndio nilifanya akaniuliza status yako imechange nikamwa Hapana imeishia selected for oral
 
BINAFSI hyo stutus ya reserve sijawahi kuona wa kusikia ndio mara ya kwanza. Ila ninachojua TRA walikuwa na uhitaji mkubwa sna ndio maana watu walichukuliwa wengi kuliko hata nafasi zilizotangazwa.
So mwaka huu pia walichukua wote walio faulu???
 
Mbona kuna watu waliandikiwa reserve baada ya placement ya mwaka jana wakitegemea mwaka huu wataitaitwa lkn ikiwa kimya na baadala ya placement ya juzi hawajasema chochote kwa status
Waliitwa October kuchukua barua zao.
 
Habari za leo wapendwa.
Poleni na mapambano ya kusaka mrija wa asali, kamwe msikubali kukatishwa tamaa na mtu yeyote maana kila mtu anayafahamu maisha yake vizuri.
Kuna Jamaa wakati napambana kuomba kazi na kufanya saili mbalimbali alikuwa akitema shombo sana kuhusu mimi ooo huyu jamaa anamaliza pesa kwenye nauli tu hizo kazi zinawenyewe ni bora hata angefungua genge baada ya kusikia nimepata kazi saizi anaomba kila kazi hata kama ina mtu mmoja.
Yaani mtu hakudai wala hakusaidii chochote ila kazi yake ni kukukatisha tamaa tu. Utaambiwa.
>>Hiyo kazi haina mshahara mkubwa wakati yeye hana issue yeyote kitaa.
>> Hiyo kazi kuna jamaa yangu ameacha kazi hailipi usiombe.

Kamwe usikate tamaa.
 
Habari za leo wapendwa.
Poleni na mapambano ya kusaka mrija wa asali, kamwe msikubali kukatishwa tamaa na mtu yeyote maana kila mtu anayafahamu maisha yake vizuri.
Kuna Jamaa wakati napambana kuomba kazi na kufanya saili mbalimbali alikuwa akitema shombo sana kuhusu mimi ooo huyu jamaa anamaliza pesa kwenye nauli tu hizo kazi zinawenyewe ni bora hata angefungua genge baada ya kusikia nimepata kazi saizi anaomba kila kazi hata kama ina mtu mmoja.
Yaani mtu hakudai wala hakusaidii chochote ila kazi yake ni kukukatisha tamaa tu. Utaambiwa.

Kamwe usikate tamaa.
Noted mkuu
 
Hapana nilipiga za MDAs and LGAs
Me Huwa najuaga kwa taasisi za vyuo na kama mko wachache huwa hawana mda wa kuandika wanachagua tuvwanayemuhitaji
[/QUOTE]
Kweli aiseee nikuomba Mungu maana ukifikiria sanaaaaa huwa hupati majibu
 
Back
Top Bottom