HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mawakili wengi asee wamelamba Shavu.Naimani Kesho wataamka wakiwa na Furaha tele sana waliobahatika.....
Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.

Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
 
mkuu hongeraa sana afsa ,majoblesi tupungue kitaa. status ilikua inasomaje luteni kanali?
 
Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.

Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
na umeongea maneno mazito sna afsa,Amen
 
Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.

Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Hongera
 
hongera sana.
 
Back
Top Bottom