Madam! VP kwema?Hongera mnoooo dear
Madam! VP kwema?Hongera mnoooo dear
Kwema bossMadam! VP kwema?
Alright! Nashukuru kwa Ushirikiano wenu, nimemaliza Oral interview salama ngoja nisubiri results sasa.Kwema boss
Kwaiyo sisi tuliokuwa tunashuka point wanatusikiliza walikuwa wanatuchora kumbe duuuuuuh kweli Mungu asaidieNafikiri Huwa wana note majibu unayotoa kama ni sahihi, ila kama umetoka nje ya swali Wanakuchora tu wanaweka OP.
Hongera dear,lets pray for the best.Alright! Nashukuru kwa Ushirikiano wenu, nimemaliza Oral interview salama ngoja nisubiri results sasa.
Hivi placement ya tra hawakuchukua data base au data base watachukua next time
Yeah, Mungu atabless Naamini.Hongera dear,lets pray for the best.
Acha tu chief, ila naamini Mungu atasabless tutatoboaKwaiyo sisi tuliokuwa tunashuka point wanatusikiliza walikuwa wanatuchora kumbe duuuuuuh kweli Mungu asaidie
Hawakuwa wanaandika au..?Kwaiyo sisi tuliokuwa tunashuka point wanatusikiliza walikuwa wanatuchora kumbe duuuuuuh kweli Mungu asaidie
Sijaelewa,kivipi?Acha tu chief, ila naamini Mungu atasabless tutatoboa
Kuna wanangu walikuwa hawamalizi point wanapigwa swali lingine na ukifikiria kidogo unapigwa swali lingine Asa sijui walikuwa wanaangalia nn had wanafanya Ivo.Acha tu chief, ila naamini Mungu atasabless tutatoboa
Mbona kuna watu waliandikiwa reserve baada ya placement ya mwaka jana wakitegemea mwaka huu wataitaitwa lkn ikiwa kimya na baadala ya placement ya juzi hawajasema chochote kwa statusHawakuwa na watu kwenye kanzidata, waliofaulu wote waliitwa kazini. Ambao hawakuitwa hawakufika vigezo, ndio maana baada ya Ile placement wakatangaza nafasi nyingine za kazi za kutosha.
Si hua wana note down then wanasahisha. Yani oral ambayo unasaidiwa tu kuandika[emoji848]Kwaiyo sisi tuliokuwa tunashuka point wanatusikiliza walikuwa wanatuchora kumbe duuuuuuh kweli Mungu asaidie
Ubarikiwe dear![]()
Join humo utakutana na wengine weeengi mjadili vizuri ingawa wameshaanza kujadili mambo hayo
Heee kumbe ni wasap,ubaya line zangu zimefungiwa duh![]()
Join humo utakutana na wengine weeengi mjadili vizuri ingawa wameshaanza kujadili mambo hayo
Ndio wasap mpendwa, humo kiukweli unapata mwanga mm sikuomba ljn naona wanajitahidi kuelimishanaHeee kumbe ni wasap,ubaya line zangu zimefungiwa duh
Thsnks much muchUbarikiwe dear
Mbona kuna watu waliandikiwa reserve baada ya placement ya mwaka jana wakitegemea mwaka huu wataitaitwa lkn ikiwa kimya na baadala ya placement ya juzi hawajasema chochote kwa status