HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Attachments

  • 255786051128_status_6a25b8c13d2a4b43beb867a0c44b61f0.jpg
    255786051128_status_6a25b8c13d2a4b43beb867a0c44b61f0.jpg
    33.6 KB · Views: 23
🤣🤣🤣🤣 bosss usiombe io pdf iwe ndo tegemezi lako.
Wapi Mie hata iwe tegemezi kuna kitu nishazoea Kuona ni Sawa tu Japo nyakat Ngumu nazozipata baada ya kukosa Jina nikujitahidi kujifanyia assessment mwenyew kweny interview wap nilipokosea mpk sikupata marks nzuri za kufanya niappear kwenye PDF.
 
Coz bado huna shida ndogo ndogo na mda bado upo upande wako.
 
Back
Top Bottom