HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanaandika mkuu. Mimi nilifanya ya chuo walikuwa wanaandika muda mwingi yani nikianza tu kujibu wanaandika.

Me Huwa najuaga kwa taasisi za vyuo na kama mko wachache huwa hawana mda wa kuandika wanachagua tuvwanayemuhitaji
[/QUOTE]
Sio wote hawaandiki,,, but Kuna wengine au jopo Fulani huwezi kuwaona wanaandika. Kwa mujibu wa saili yangu Fulani niliyaona haya na hata wenzangu niliwauliza wananithibitishia Vivyohivyo
 
Habari za leo wapendwa.
Poleni na mapambano ya kusaka mrija wa asali, kamwe msikubali kukatishwa tamaa na mtu yeyote maana kila mtu anayafahamu maisha yake vizuri.
Kuna Jamaa wakati napambana kuomba kazi na kufanya saili mbalimbali alikuwa akitema shombo sana kuhusu mimi ooo huyu jamaa anamaliza pesa kwenye nauli tu hizo kazi zinawenyewe ni bora hata angefungua genge baada ya kusikia nimepata kazi saizi anaomba kila kazi hata kama ina mtu mmoja.
Yaani mtu hakudai wala hakusaidii chochote ila kazi yake ni kukukatisha tamaa tu. Utaambiwa.


Kamwe usikate tamaa.
- umepata kazi wapi?!.
 
Nilifanya oral UDSM 30/1/2023.
Maswali manne nilijibu vizuri swali la 5 lilitaka point tano nilitaja point moja ninayokumbuka wakaniambia jaribu tena nikawabia sikumbuki kitu. Nasubiri PDF walisema baada ya wiki 3.
Mkuu,walisema baada ya wiki 2 😁 Ila mpaka Leo hola😁

Ila wiki hii au ijayo watatema zaga, UDSM hawanaga mbambamba
 
Habari za leo wapendwa.
Poleni na mapambano ya kusaka mrija wa asali, kamwe msikubali kukatishwa tamaa na mtu yeyote maana kila mtu anayafahamu maisha yake vizuri.
Kuna Jamaa wakati napambana kuomba kazi na kufanya saili mbalimbali alikuwa akitema shombo sana kuhusu mimi ooo huyu jamaa anamaliza pesa kwenye nauli tu hizo kazi zinawenyewe ni bora hata angefungua genge baada ya kusikia nimepata kazi saizi anaomba kila kazi hata kama ina mtu mmoja.
Yaani mtu hakudai wala hakusaidii chochote ila kazi yake ni kukukatisha tamaa tu. Utaambiwa.


Kamwe usikate tamaa.
Ni sahihi kabisa mkuu, wenye nia za kukatisha tamaa hawapaswi kusikilizwa
 
TARI ndo Kuna watu wengi mkuu..
Bila shaka TARI & ASA zitamwaga pamoja kwa pdf 1.
Hizi taasisi 2 ni dada na kaka
Sawa Ila toka atangaze na hiz replacements za TRA ,REA na zingine zilizotoka hazifik ata 700 kwa ujumla wake he hizo 1700 zitatoka WAP au siasa???
 
Sawa Ila toka atangaze na hiz replacements za TRA ,REA na zingine zilizotoka hazifik ata 700 kwa ujumla wake he hizo 1700 zitatoka WAP au siasa???
Wewe tulia kama umefanya Usaili na unaamini umefaulu kituo utapangiwa tu hata huko uvinza ndanindani 😁
Hayo maswali Mimi na wewe hatujui lolote. Unadhani hawa mawakili waliopata placement Jana walijua kuwa watatupwa tena huko NPS..? Wengi wao walishakata tamaa, So we amini siku yoyote itakuwa ya furaha kwako kuanzia sasa
 
Nilifanya oral UDSM 30/1/2023.
Maswali manne nilijibu vizuri swali la 5 lilitaka point tano nilitaja point moja ninayokumbuka wakaniambia jaribu tena nikawabia sikumbuki kitu. Nasubiri PDF walisema baada ya wiki 3.
Endelea kusubiria
 
Wewe tulia kama umefanya Usaili na unaamini umefaulu kituo utapangiwa tu hata huko uvinza ndanindani 😁
Hayo maswali Mimi na wewe hatujui lolote. Unadhani hawa mawakili waliopata placement Jana walijua kuwa watatupwa tena huko NPS..? Wengi wao walishakata tamaa, So we amini siku yoyote itakuwa ya furaha kwako kuanzia sasa
Sawa mkuu nmekuelewa
 
Sema wenge la chumba cha usaili ni hatari sana....Pepa linaweza kuwa rahisi....ulitoka mle ndani ndo unakumbuka maneno mazuri zaidi ambayo ungeyajibu....ila ukiwa mule ndani evaporation yake sio ya kawaida wakuu 😄.

Halafu wakui, hili swala la umeambiwa kwenye swali MENTION halafu wewe uka EXPLAIN limekaaje hili?

naomba muongozo wa wenye uzoefu.
 
Placements za ASA ndo nazadhan Zina watu wengi Ila February ndo inaisha na database la waziri mbn Kama Sion na pia naomba kuuliza kwel Kuna mtu ashawah kuitwa kazin akichukuliwa kweny database?
Ni wengi tuu, kuna classmate wangu yeye alishangaa unatoka mkeka na jina Lake likawemo ila cha ajabu kituo alichopangiwa hakuwahi hata kufanyia usaili.
Nb. Alipangwa kwenye halmashauri.
 
Back
Top Bottom