mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
mkuuuDah ila huu uzi bwana,Leo nilisema nisicomment chochote zaidi ya likes lakini nimejikuta nacomment....
luaga mpina
Orosso
mkuuuDah ila huu uzi bwana,Leo nilisema nisicomment chochote zaidi ya likes lakini nimejikuta nacomment....
luaga mpina
Orosso
Dah! Hatari...Ni kipengele tuchukulie mfano TRA wanatoka Tangazo la Ajira Kwa Mwaka mara 1 ss ukiacha kwenda huko pengine huoni utajizibia Riziki Labda uwe km Mi nilie Sema nitaomba Kazi za TRA pekee yake mpk 2025 hapo ndy nitaanza kumix machaguo
Unaangalizia Kweny Web au Appivi wakuu mbona hizi saili za vyuo hususani tutorial assistant kwa vyuo vikuu mbona status hazibadiliki tangu niwe shortlisted haijabadilika na oral nikishafanya japo nilikosa nafasi kada ilikua inahitaji mtu mmoja tu nilifika oral lakini sijawahi ona selected for oral
Naam Mzee wa Manyonimkuuu
Acha tu Kaka Maisha yenyew ndy haya Gharama za Usahili mpk ndg akushike Mkono na ushindani ilivyo Mgumu kikando ikiwa Mingi wanaweza kukutenga Imagine Kwa Mwaka umeenda interview 6 na Kila Interview sio Chini ya 200k Kwa Sisi tunaokaa Mbali na Dodoma. Ni lzm kukubali tu kudeal na Course uliyosomea Neema inaweza kuwepoDah! Hatari...
Placement tayarAcha tu Kaka Maisha yenyew ndy haya Gharama za Usahili mpk ndg akushike Mkono na ushindani ilivyo Mgumu kikando ikiwa Mingi wanaweza kukutenga Imagine Kwa Mwaka umeenda interview 6 na Kila Interview sio Chini ya 200k Kwa Sisi tunaokaa Mbali na Dodoma. Ni lzm kukubali tu kudeal na Course uliyosomea Neema inaweza kuwepo
Ebu Acha kutukumbusha machungu Sisi wengine tushakubali tumekosa Ukizingatia ilikuwa Valentine's Day na Bado tupo kwenye mahusiano yenye Afya mgogoro faraja yetu ilikuwa ni PDF tuPlacement tayar
yaah utalamba asali safari hii,hatupoiNaam Mzee wa Manyoni
Tuombeane kaka wote tulambe Asali,tushapambana na hizi vita sana.Mungu atusaidie wapambanaji wote kaka.yaah utalamba asali safari hii,hatupoi
yaah kuna uliotema hapo mawakili wamelamba asali mnoTuombeane kaka wote tulambe Asali,tushapambana na hizi vita sana.Mungu atusaidie wapambanaji wote kaka.
Mawakili wengi asee wamelamba Shavu.Naimani Kesho wataamka wakiwa na Furaha tele sana waliobahatika.....yaah kuna uliotema hapo mawakili wamelamba asali mno
yaah mkuuMawakili wengi asee wamelamba Shavu.Naimani Kesho wataamka wakiwa na Furaha tele sana waliobahatika.....
Nina Imani wapo waliolamba Asali Leo hiihuu hapa
Yakunle nadhani yeye ni December atakuwa alikuwa anausubiri huo mkeka.....Ngoja tumsuburi ndugu yetu kutoka SUAwataukuta asubuhi,yakunle atatupa mrejesho