HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mm naona kuhusu database kuexpire ni sahihi labda tuseme waongeze muda maybe iwe miaka mitatu.

Kwa sababu ukisema hakuna kuexpire maana ake kama watu waliopo database wapo 100, na kama ikitokea ajira zao wanabebwa mmoja mmoja kwa mwaka maana yake mpaka waishe itabidi ipite miaka mia, sasa h itakuwa n maumivu kwa waliomaliza chuo kwenye fani hiyo hiyo.

Mm nadhani h n fursa kwa watahiniwa wapya kujua yaliyopo huko kwenye usaili na pia kama ulishindwa kupata kazi wakati uliopita, bc ukirudi tena unakuwa unajua n wapi nilikosea mwanzo hvy n wapi nirekebishe

Pia watuambie kuwa taasisi fulani hawataki watu wa database, mana mm niliwah kuitwa kweny usaili kweny taasisi hiyo hiyo ambayo bado nipo database kwa fani ile ile.

Anyway, khs kupata kazi sio bidii yako katika kufanya vzr kwenye usaili, bahati pia inaweza kukubeba.
Miaka mitatu pia ni wazo zuri pia ,, hivi haya mawazo Huwa wanapita huku angalau na kuyasoma kweli ??
 
Kwaiyo katika kipindi cha miaka 3 kila mwaka wakachukua mtu mmoja mmoja baada ya miaka 3 kuisha wana expire watu 97 , wanatangaza tena kazi nafasi mtu mmoja anatakiwa watu wanatuma maombi wahitimu wapya pamoja na wale wahitimu wa zamani walio expire 97 wanachukua tena mtu mmoja 100 wanabakia data bank baada ya miaka 3 wanaexpire mwendo ni ule ule . Hii sababu yote ni kutokana na watafuta ajira ni wengi ukilinganisha na ajira zinazotolewa ,data bank ipo kama haipo au pengine ni neno la kisiasa tu
Sijaelewa ulichoandika ila fresh tuzidi kupambana
 
Kikawaida nafasi moja huitwa oral watu 3 then wawili huwekwa database tuwe realistic kidogo.
N kweli ila hiyo haifanyi kazi kiuhalisia.

oral mnaweza kuwa 30 na anahitajika mmoja, wakuwekwa database watawekwa, wakufeli wamefeli.
 
Sijaelewa ulichoandika ila fresh tuzidi kupambana

Kwaiyo katika kipindi cha miaka 3 kila mwak wakachukua mtu mmoja mmoja baada ya miaka 3 kuisha wana expire watu 97 , wanatangaza tena kazi nafasi mtu mmoja anatakiwa watu wanatuma maombi wahitimu wapya pamoja na wale wahitimu wa zamani walio expire 97 wanachukua tena mtu mmoja 100 wanabakia data bank baada ya miaka 3 wanaexpire mwendo ni ule ule . Hii sababu yote ni kutokana na watafuta ajira ni wengi ukilinganisha na ajira zinazotolewa ,data bank ipo kama haipo au pengine ni neno la kisiasa tu
M
 
Back
Top Bottom