mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
sawa afsaZa ndaani mkuu,. Wiki ijayo mkuu shortlist.

Na gharama za malaziHiyo 150k plus gharama ya malazi au ni msosi pekee?
Hii nchi ni hatari sana aisee, Hatupendani na hatuoneani huruma. Najiuliza pengine mtu ulikuwa hauna mishe kitaa umepata kazi unauhakika wa maisha tayari usimshukuru Mungu???KWELI WA TZ TUNAROHO MBAYA NA KUVUNJANA MIOYO
usisahau na unafiki nao ndio kabisaaHii nchi ni hatari sana aisee, Hatupendani na hatuoneani huruma. Najiuliza pengine mtu ulikuwa mishe kitaa umepata kazi unauhakika wa maisha tayari usimshukuru Mungu???
Kweli kabisa, nenda kafanye kazi kwa bidii na weledi. Hayo mambo ya kupitwa salary kisa mwenzako yupo taasisi fulani ni mambo ambayo lazima yawepo kikubwa ni kujituma na unaweza shangaa unaishi life zuri sanaa. Mimi nakupongeza tena, hongera sanaaa mkuu.Safari ya maisha ya mtu anaijua Mungu mkuu. Nina kila sababu ya kufurahia. Hizo nafasi ambazo wewe unaziona za kawaida ni life changing opportunities kwa wengine.
Watu wote hatuwezi kuajiriwa kwenye hizo taasisi ulizosema...wengine lazima wafanye kazi kwingine pia.
Sauti ya mtu mmoja tu ndiyo imesababisha yote haya kiasi cha kufanya wasomi waonekane si lolote mpaka mtu anafikia 40 hajui kesho/tumaini lakeHongera sana mkuu kwa potent comment, Jana mimi nilikuwa na oral yangu ya pili na ya mwisho kwa received zangu.
Kwakweli oral haikuwa ngumu sana wala rahisi sana, Mimi nilisikitika saba kuona watu wa degree prog. Kama yangu na wenye miaka karibia 38-40, tukiwa nao kwenye mpambano.
Naomba kile kigezo cha umri kichukue mkondo wake, kama watakuwa wamefaulu wapewe priority.
Mimi mwenyewe naomba Mungu niwemo kati ya oral mbili hizi nilizopiga.
Hongera sana mkuu!Hello Guys
Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Pumzi, sijawai kuchangia katika jukwaa hili especially kwenye huu uzi...
Naweza sema ni bahati lakini pia wakati wa Mungu ni sahihi leo hii nimedumbukia kwenye pipa la Asali..
nimefanya interview 04
nlianza fanya interview 2021 mwezi wa pili rasmi...
mwezi December nikafanya interview kwa kujiiba sana....
kwanza Niliitwa interview majina nikaja yaona zimebaki siku 2, niliomba ruhusa kwenye kijibarua changu nikanyimwa ikanibidi nisafiri usiku saa 2 kutoka Mbezi kwa Magufuri, nimefika Dodoma saa kumi usiku, nikakosa sehemu ya kulala nikalala lecture room, saa kumi na mbili umeme ukakatika hivyo kimsingi sikua nimesoma kibarua changu ninaingia saa 1 natoka saa 12 jioni nimefanya written kwa juhudi na idea tu, matokeo walisema wanatoa baada ya siku 2 ikawa tofauti mpk jumatatu matokeo hayakutoka na oral ilikua jumanne imefika jioni nikaamua kuondoka Dar pasipokua najua matokeo ila ni roho tu na Uwezo wa Mungu uliniongoza tu lengo lilikua ni kusogea mpk morogoro nikiskilizia matokeo nimefika Moro saa nne matokeo yametoka nipo na ni mtu wa tatu nikapanda gari mchomoko nimefika Dodoma saa 11 asubui nikaomba mahala nimeingia nikaoga nikavaa nikaenda interview kumbuka sijajiandaa na kitu apo ila ni roho Mtakatifu tu
aliniongoza oral nimefanya saa sita mchana sijala kitu toka asubui
kiukweli oral maswali 5 nlijibu maswali 4 vzr swali moja nlizingua na lingine nlijibu point 3 badala ya tano naweza sema ni ile knowldge na kwakua nlikua na tabia ya kusoma soma..
napenda kusema kwa Wasaka mirija wenzangu kua
1.Mungu kwanza
2. Wakati wa mungu ni sahihi nimekaa miaka 6 bila ajira ya maana kwa ujira mdogo uku nikiwa ni muhitimu tena mwenye vyeti vizuri
3. Maandalizi na kusoma sana ndio ngao yako usibweteke na maksi za written walioongoza written yetu wameachwa wote unapo apply tu status ikisoma received anza soma kama uko UE
4. Changamana na watu upate connection maana mimi sikusoma ila kupitia maongezi nilipata kitu
asanteni one oral interview one goal
Wala usingetumia Nguvu Sana kushukuru ni Jambo nzuri hata Kwa Mwenyezi Mungu alietaka iwe hivyo tusitenge matabaka ya kushukuru tufanye hivyo tunapoona Neema ya Bwana Juu Yetu hata km ni ndogo lkn tutambue haikuwa Kwa Uwezo wetu wala Nguvu zetu pasipo Yeye so Muache awaze hivyo hivyo lkn hajue kuna Watu Wapo Smart sn lkn ukiwauliza wanakuambia wanapenda kufundisha (Ualimu) Kati haya Mambo ya Ajira kuna watu wa Aina 2Safari ya maisha ya mtu anaijua Mungu mkuu. Nina kila sababu ya kufurahia. Hizo nafasi ambazo wewe unaziona za kawaida ni life changing opportunities kwa wengine.
Watu wote hatuwezi kuajiriwa kwenye hizo taasisi ulizosema...wengine lazima wafanye kazi kwingine pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], duuuu kweli mwamba amewakamia wenzake. Huyu jamaa inaonekana alishapataga mrija siku nyingi sana hapa yupo anawachora tuu watu.
- ni mawakili sio wanasheria,
- hao sio Level Yako, wako level ya juu Sana compared to taaluma Yako uliyosomea.
Hongera sanaa mkuu, bila shaka ni wizara ya kilimo.Hello Guys
Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Pumzi, sijawai kuchangia katika jukwaa hili especially kwenye huu uzi...
Naweza sema ni bahati lakini pia wakati wa Mungu ni sahihi leo hii nimedumbukia kwenye pipa la Asali..
nimefanya interview 04
nlianza fanya interview 2021 mwezi wa pili rasmi...
mwezi December nikafanya interview kwa kujiiba sana....
kwanza Niliitwa interview majina nikaja yaona zimebaki siku 2, niliomba ruhusa kwenye kijibarua changu nikanyimwa ikanibidi nisafiri usiku saa 2 kutoka Mbezi kwa Magufuri, nimefika Dodoma saa kumi usiku, nikakosa sehemu ya kulala nikalala lecture room, saa kumi na mbili umeme ukakatika hivyo kimsingi sikua nimesoma kibarua changu ninaingia saa 1 natoka saa 12 jioni nimefanya written kwa juhudi na idea tu, matokeo walisema wanatoa baada ya siku 2 ikawa tofauti mpk jumatatu matokeo hayakutoka na oral ilikua jumanne imefika jioni nikaamua kuondoka Dar pasipokua najua matokeo ila ni roho tu na Uwezo wa Mungu uliniongoza tu lengo lilikua ni kusogea mpk morogoro nikiskilizia matokeo nimefika Moro saa nne matokeo yametoka nipo na ni mtu wa tatu nikapanda gari mchomoko nimefika Dodoma saa 11 asubui nikaomba mahala nimeingia nikaoga nikavaa nikaenda interview kumbuka sijajiandaa na kitu apo ila ni roho Mtakatifu tu
aliniongoza oral nimefanya saa sita mchana sijala kitu toka asubui
kiukweli oral maswali 5 nlijibu maswali 4 vzr swali moja nlizingua na lingine nlijibu point 3 badala ya tano naweza sema ni ile knowldge na kwakua nlikua na tabia ya kusoma soma..
napenda kusema kwa Wasaka mirija wenzangu kua
1.Mungu kwanza
2. Wakati wa mungu ni sahihi nimekaa miaka 6 bila ajira ya maana kwa ujira mdogo uku nikiwa ni muhitimu tena mwenye vyeti vizuri
3. Maandalizi na kusoma sana ndio ngao yako usibweteke na maksi za written walioongoza written yetu wameachwa wote unapo apply tu status ikisoma received anza soma kama uko UE
4. Changamana na watu upate connection maana mimi sikusoma ila kupitia maongezi nilipata kitu
asanteni one oral interview one goal
Hongera sana mkuu kwa potent comment, Jana mimi nilikuwa na oral yangu ya pili na ya mwisho kwa received zangu.
Kwakweli oral haikuwa ngumu sana wala rahisi sana, Mimi nilisikitika saba kuona watu wa degree prog. Kama yangu na wenye miaka karibia 38-40, tukiwa nao kwenye mpambano.
Naomba kile kigezo cha umri kichukue mkondo wake, kama watakuwa wamefaulu wapewe priority.
Mimi mwenyewe naomba Mungu niwemo kati ya oral mbili hizi nilizopiga.
Leo nimekutana na mwamba ametoboa zile kazi TRA nafasi ya TMO yuko aged 40+....... anasema alianza maandalizi kwa hizo nafasi za TRA toka mwaka jana mwezi wa 7Hongera sana mkuu kwa potent comment, Jana mimi nilikuwa na oral yangu ya pili na ya mwisho kwa received zangu.
Kwakweli oral haikuwa ngumu sana wala rahisi sana, Mimi nilisikitika saba kuona watu wa degree prog. Kama yangu na wenye miaka karibia 38-40, tukiwa nao kwenye mpambano.
Naomba kile kigezo cha umri kichukue mkondo wake, kama watakuwa wamefaulu wapewe priority.
Mimi mwenyewe naomba Mungu niwemo kati ya oral mbili hizi nilizopiga.
- mi Niko kiwanda Cha Chuma nabeba nondo[emoji1787][emoji1787][emoji1787], duuuu kweli mwamba amewakamia wenzake. Huyu jamaa inaonekana alishapataga mrija siku nyingi sana hapa yupo anawachora tuu watu.
Kwakweli hongera yake na kwa utumishi kutoa priority kwa masinia....Leo nimekutana na mwamba ametoboa zile kazi TRA nafasi ya TMO yuko aged 40+....... anasema alianza maandalizi kwa hizo nafasi za TRA toka mwaka jana mwezi wa 7
Amefanya interviw 4 amechezea ndoige 3, moja hiyo ya TRA ndo imetikii,ana received 2 but kwa kuwa amepata kazi anaachana nazo
Kanifunza kitu tusikate tamaa tupambane na maandalizi ya mapema ni muhimu sana,ukiona received tu anza kukomaa
Hello Guys
Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Pumzi, sijawai kuchangia katika jukwaa hili especially kwenye huu uzi...
Naweza sema ni bahati lakini pia wakati wa Mungu ni sahihi leo hii nimedumbukia kwenye pipa la Asali..
nimefanya interview 04
nlianza fanya interview 2021 mwezi wa pili rasmi...
mwezi December nikafanya interview kwa kujiiba sana....
kwanza Niliitwa interview majina nikaja yaona zimebaki siku 2, niliomba ruhusa kwenye kijibarua changu nikanyimwa ikanibidi nisafiri usiku saa 2 kutoka Mbezi kwa Magufuri, nimefika Dodoma saa kumi usiku, nikakosa sehemu ya kulala nikalala lecture room, saa kumi na mbili umeme ukakatika hivyo kimsingi sikua nimesoma kibarua changu ninaingia saa 1 natoka saa 12 jioni nimefanya written kwa juhudi na idea tu, matokeo walisema wanatoa baada ya siku 2 ikawa tofauti mpk jumatatu matokeo hayakutoka na oral ilikua jumanne imefika jioni nikaamua kuondoka Dar pasipokua najua matokeo ila ni roho tu na Uwezo wa Mungu uliniongoza tu lengo lilikua ni kusogea mpk morogoro nikiskilizia matokeo nimefika Moro saa nne matokeo yametoka nipo na ni mtu wa tatu nikapanda gari mchomoko nimefika Dodoma saa 11 asubui nikaomba mahala nimeingia nikaoga nikavaa nikaenda interview kumbuka sijajiandaa na kitu apo ila ni roho Mtakatifu tu
aliniongoza oral nimefanya saa sita mchana sijala kitu toka asubui
kiukweli oral maswali 5 nlijibu maswali 4 vzr swali moja nlizingua na lingine nlijibu point 3 badala ya tano naweza sema ni ile knowldge na kwakua nlikua na tabia ya kusoma soma..
napenda kusema kwa Wasaka mirija wenzangu kua
1.Mungu kwanza
2. Wakati wa mungu ni sahihi nimekaa miaka 6 bila ajira ya maana kwa ujira mdogo uku nikiwa ni muhitimu tena mwenye vyeti vizuri
3. Maandalizi na kusoma sana ndio ngao yako usibweteke na maksi za written walioongoza written yetu wameachwa wote unapo apply tu status ikisoma received anza soma kama uko UE
4. Changamana na watu upate connection maana mimi sikusoma ila kupitia maongezi nilipata kitu
asanteni one oral interview one goal
Hongera mnoooo dearHello Guys

Hongera sana ndugu.Hello Guys

Vyovyote itavokua, nafikiri sio sawa ku-mfanyia hivo msaili, hivi wanakuaga bize kuandika, sijui wanaandikaga nini.
Hongera sana,,, Wakati wa Mungu umefikaHello Guys