HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Utartibu wa database
1.Uwe umefaulu ie.kwa kada za kufundisha ni 70% na kada nyingine ni 50%
2.Uwe within timeframe ie. Within 1 year since umefanya oral/placement

So we jipime hapo kama unahisi una vigezo bs sbria pdf la mama
Nitajuaje oral nimefaulu sasa na placement zimetoka sijapata kazi
 
Kada yako ina usaili wa vitendo?
Mimi yangu Haina usaili wa vitendo imetoka Selected for null hadi sasa inasoma selected for oral, ilhali oral nilifanya mwaka jana. Labda tunarudia oral
Naona wengine zinasoma selected for job
 
Vyovyote itavokua, nafikiri sio sawa ku-mfanyia hivo msaili, hivi wanakuaga bize kuandika, sijui wanaandikaga nini.
We assume saw Labda Maswali Yana 80% ya marks za Usahili wako na 20% Personality yako so km kwny zile 80% za maswal Umejibu na wao wanaona wamekuandikia 60+ sio mbaya kukuambia waende Swali linalofata maana wao ndy wanajua kuwa we umetoboa vice versa kwny upande wa 2 wanaona kabsa we hata database ukai ya nn uwachoshe Wazee wale kukusikiliza we.
 
kaka majeshi lazima ya ajiri kila mwaka, especially jw kila nchi lengo lao ni kuwa na jeshi kubwa, police hawajaweka idadi wanataka wangapi, magereza pia toka mwaka jana hawajatimiza kibali chao cha kuajiri kama sikosei.


Ila sio mbaya, tumebaki na siku 8 let see.
Kwamba hao 1700 wanaweza kwenda huko kwenye majeshi, najaribu kuwazua hapa. Ukiangalia siku zimebaki chache kumaliza mwezi wa pili na nafasi kutoka kanzidata nilizoona mimi ni hizi za ofisi ya Rais, menejimenti ya utumishi wa umma ambazo zilikuwa kama 5 tu.
 
We assume saw Labda Maswali Yana 80% ya marks za Usahili wako na 20% Personality yako so km kwny zile 80% za maswal Umejibu na wao wanaona wamekuandikia 60+ sio mbaya kukuambia waende Swali linalofata maana wao ndy wanajua kuwa we umetoboa vice versa kwny upande wa 2 wanaona kabsa we hata database ukai ya nn uwachoshe Wazee wale kukusikiliza we.
Hahaha.
 
Unajua kuna muda Mwingne kuna wasahili wapo vizuri Sana kuanzia kichwani mpk Muonekano hata km Panelists wapo 4 lkn marks zao Kwa mtu huyo lzm zikaribiane sn may be Moja kakupa 81 Mwingne 83 Mwingne 80 na Mwingne 79 so Moja anapotoa uamuzi wa we kwenda Swali jingine bhs Kwa namna Moja au nyingne anauwakika Kwa kile alichoobserve kwako na Panelists wengine waneobserve the same (na hii n kutokana na uzoefu wao wakukaa kwny hizo Sahili mara kadhaa)
 
@Orosso kwa TRA sawa lakini kwa TPA hapana. Sikumbuki kama TPA wamewahi kuajiri watu wengi kwa mara moja achilia mbali Ile iliyokuwa na operations officer II na kada nyinginezo ambazo hazikua nyingi. So, basically ni TRA pekee iliyoajiri namba kubwa kwa miaka ya karibuni. I stand to be corrected
Nasimama na Casablanca92 TPA hapana hawajatoa nafasi nyingi
 
yote tisa ni afadhali utumishi
kuliko
Private sector& international NGOS ni noma sana
wana ile automatic reply baada ya miezi kadhaa

Dear luaga mpina
thank you for showing interests in joining us, consenquently we regret to inform you that after careful observation we are no longer proceed your application , dont hesitate to apply again

Thank u
WFP HR team,DRC recruitment,UNHCR,Icap tanzania nk

wengine hawajibu kabisa sio kazi,volunteering wala internship. ndio maana nimehamia utumishi,baada ya kipigo cha majeshi na NGOS
Bora wewe umewahi kujibiwa, me hao mpaka nishachoka kuomba.
 
Back
Top Bottom