HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Utumishi wanakwama sana bora warudishe tu kila taasisi ufanye michakato ya ajira maana utumishi wako slow sana.
Hii ki2 kama una connection utatoboa ila kwa watoto wa maskini bora wakabi utumishi kwny 100.
Wanaotoboa kwa connection utumishi labda ni 10.
Ila huko kwa tasisi utasikia 50 ni connection.
Bora Slow But Sure For Majority.
 
1.Urasimu tu ni mwingi.Hapa Ni Sera Zao Na Kanuni Hawazitekelezi ipasavyo.Week 3 After oral ni placement.
2.Taasisi Zenyew Labda Hazipo Active Kufatilia Ajira Zao Utumishii Baada ya kupeleka vibali.
3.Uchache Wa Baadhi Ya Watu Kwa kada flan Re advertising nyingi au Watahiniw kukosaa maarifa kutoboa hizo saili.
sasa ww ndo kiongozi, utaanza na waliofaulu vizur kabisa usaili mfano wapo 1000+ kuwapa placement, au walioingia database wakasubir taasisi zipatikane wakiwa database, wap watakua priority.
 
Kwa kunisaidia au mawazo yako unazani kwann malengo hayajafikiwa?
Kwa ile clip ya Rais iliyopelekea mkeka wa TRA kutoka unaweza pata picha, kuna urasimu wa Utumishi katika hili, moja.

Sababu ya pili hali halisi ya humo ndani, hazina. Ukisiliza vema, utagundua ni rahisi mashirika na taasisi zile zenye uwezo wa kutengeneza mapato kuita watu kwa ajira mpya, hali ni tofauti kwa zile taasisi zinazotegemea fungu toka hazina kutekeleza hili.

Kwahiyo, sababu zinazopelekea utumishi kutofikia malengo inaweza kuwa urasimu katika kuendesha mchakato na utayari/uwepo wa fungu toka hazina kugharamia ajira mpya.
 
M mm nilielewa hivo hasaa hapo kwenye fungu kutoka. So nikazani lazima wamalizie viporo vya mwaka jana watu ni wengi wanasubir placement na interview za juzi nyingi ni za mwaka jana kama sio zote.
 
Mm kama kiongozi siwezi kupata fungu la kuwapangia data base wakati na raia waliofaulu sijawapa vituo, naanza na plan A nyie plan B mtafata. Only kama mm kiongozi, na ndomana nimekua mgumu kuamini io pdf ya database.
 
Yeah, na kwa clip ile, ni kama serikali haina cha kufanya kuwashurutisha hawa utumishi kupeleka watu kazini hasa kwa zile taasisi zinazotegemea fungu toka hazina kwa mishahara na kujiendesha.
 
Pamoja kaka.
 
Mm kama kiongozi siwezi kupata fungu la kuwapangia data base wakati na raia waliofaulu sijawapa vituo, naanza na plan A nyie plan B mtafata. Only kama mm kiongozi, na ndomana nimekua mgumu kuamini io pdf ya database.
Hii la pdf la database ajira 1700 ni la kilaghai zaidi, wengine wanasema siasa. Kwa kuangalia trend ya matangazo ya ajira na placement zake.
 
Naona hizi zinazotoka ni kwa sababu either database hamna watu au watu wachache so wanabidi waite usaili ili kujazia gap....so let us hope for good....1700+ pdf is coming soon
 
Hahaha kwamba kwa nini wanaendlea kutangaza ajira?wakt kuna database
Yeah hiyo ni sababu moja wapo. Ukitoa TRA na TPA ambao kwa miaka ya karibuni wamekua wanaajiri wengi kwa mara moja. Taasisi nyingi zinaajiri watu 10-50 kwa kada zake nafasi moja au mbili, kwa vibali vinavyojitegemea, vinavyosota katika ngazi mbali mbali huko utumishi.

Leo useme utachukua watu 1700 kanzidata, maana yake vibali vingi itabisi wavi- nullify.
 
Back
Top Bottom