HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari za muda huu wadau, sikuwa online weekend yote hii..kuna nini kipya?

Huko juu nimepita pita naona watu wanazungumzia 1700+ na ishu ya video clip.

Mtu ajitokezee anipe dondoo kidogo.

Natanguliza shukrani.
 
Vijana wanzngumzia pdf aliloahidi waziri muhagama lenye post 1700+ lenye kubeba matumaini ya vijana wengi humu
 
ivi wakuu mbona hizi saili za vyuo hususani tutorial assistant kwa vyuo vikuu mbona status hazibadiliki tangu niwe shortlisted haijabadilika na oral nikishafanya japo nilikosa nafasi kada ilikua inahitaji mtu mmoja tu nilifika oral lakini sijawahi ona selected for oral
 
Back
Top Bottom