Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,772
- 126,712
Malipo ni hapa hapa Duniani, ngoja tuzoee mazingira kwanzaHapo watu wameowaona wageni na kuwageuza fursa, na wewe ukikaa vizuri hapo tafuta gap uwageuze fursa na wao.
Malipo ni hapa hapa Duniani, ngoja tuzoee mazingira kwanzaHapo watu wameowaona wageni na kuwageuza fursa, na wewe ukikaa vizuri hapo tafuta gap uwageuze fursa na wao.
Yap ndo point yangu ilikua hapa kama malengo ya 21/22 hayajafikiwa napata ugumu kuamini 1700 wote watatoka data base kulingana na hali ya uchumi wetu. Watu 1700 kwa wakati mmoja kuwa ajiri far away kwa placement zilizotoka za TRA na nyinginezo basi nchi yetu uchumi wake utakuwa upo vizur.Waziri alisema sasa hivi bajeti inayotumika kuajiri ni 2021-2022
mkuu umeiva vibayaNafasi Ya Database Huwa Haitangazwi Na Kuanza mchakato wa Kugombania yan usaili.
So Nafasi Zote Zilizotangazwa Na Taasisi Na Watu Kufany Interview Mpk Placement Huwa Sio Database.
Database Nafasi Zake Hazitangazwi na Kugombania Kwa Usaili.
Ni Swala La Tasisi X Inataka Mhasibu,Utumishi Anangalia kama Kuna Kijana Alifanya Usaili na Kufaulu Kwa Kada ya Uhasibu Bhac Taasisi Inapewa Huyo mtu Bila Hiyo Nafasi kutangazwa na Kufanyiwa Usaili
Toa TRA Na REA Na Taasisi Nyingine Zilizotangaza.
Dereva Aliyefanaya Usaili TRA Anaweza Kosa Hizo Za TRA Akajikuta Amendaa TPA.
Sidhani kama itakuwa kwa mkupuo, au kama watawachukua wote ujue hakutokuwa na kazi zitakazo tangazwa hadi mwakaniYap ndo point yangu ilikua hapa kama malengo ya 21/22 hayajafikiwa napata ugumu kuamini 1700 wote watatoka data base kulingana na hali ya uchumi wetu. Watu 1700 kwa wakati mmoja kuwa ajiri far away kwa placement zilizotoka za TRA na nyinginezo basi nchi yetu uchumi wake utakuwa upo vizur.
Hata idadi ya mwaka Jana TRA 2100 naona hawajafikia kabisaHapana sijamaanisha upande wa kuwapata waajiriwa. Ila kama umeiona ile video waliopost humu, inaonesha hawajafikia malengo ya kuajir ya mwaka wa fedha uliopita, na kuna taasis nyingi zinasubir placement na miezi ii miwili ya mwaka huu interview zimefanyika nyingi sana wote wanasubir placement. Mm mawazo yangu ni kuwa watachukua watu data base wa kutosha ila nafasi za TRA na REA na placement zinazokuja zitakua ndani ya io idadi ya 1700.
mkuu 1700 unaona nyingi?Yap ndo point yangu ilikua hapa kama malengo ya 21/22 hayajafikiwa napata ugumu kuamini 1700 wote watatoka data base kulingana na hali ya uchumi wetu. Watu 1700 kwa wakati mmoja kuwa ajiri far away kwa placement zilizotoka za TRA na nyinginezo basi nchi yetu uchumi wake utakuwa upo vizur.
Hapana sijamaanisha upande wa kuwapata waajiriwa. Ila kama umeiona ile video waliopost humu, inaonesha hawajafikia malengo ya kuajir ya mwaka wa fedha uliopita, na kuna taasis nyingi zinasubir placement na miezi ii miwili ya mwaka huu interview zimefanyika nyingi sana wote wanasubir placement. Mm mawazo yangu ni kuwa watachukua watu data base wa kutosha ila nafasi za TRA na REA na placement zinazokuja zitakua ndani ya io idadi ya 1700.
Kuna Muda Shida Ipo utumishi na Kuna Wakati Ni Taasisi Husika.Hapana sijamaanisha upande wa kuwapata waajiriwa. Ila kama umeiona ile video waliopost humu, inaonesha hawajafikia malengo ya kuajir ya mwaka wa fedha uliopita, na kuna taasis nyingi zinasubir placement na miezi ii miwili ya mwaka huu interview zimefanyika nyingi sana wote wanasubir placement. Mm mawazo yangu ni kuwa watachukua watu data base wa kutosha ila nafasi za TRA na REA na placement zinazokuja zitakua ndani ya io idadi ya 1700.
Nalifafaham ili kaka, ila kama nilivo sema awali waziri alisema watatoa 1700 this month from data base waajiriwa, so hayo yalikuwa mawazo yangu kulingana na mazingira yaliyopo na clip nilivoielewa mm ya kikao walichokaa. So lets wait and see this february tumebakiza siku 8.Nafasi Ya Database Huwa Haitangazwi Na Kuanza mchakato wa Kugombania yan usaili.
So Nafasi Zote Zilizotangazwa Na Taasisi Na Watu Kufany Interview Mpk Placement Huwa Sio Database.
Database Nafasi Zake Hazitangazwi na Kugombania Kwa Usaili.
Ni Swala La Tasisi X Inataka Mhasibu,Utumishi Anangalia kama Kuna Kijana Alifanya Usaili na Kufaulu Kwa Kada ya Uhasibu Bhac Taasisi Inapewa Huyo mtu Bila Hiyo Nafasi kutangazwa na Kufanyiwa Usaili
Toa TRA Na REA Na Taasisi Nyingine Zilizotangaza.
Dereva Aliyefanaya Usaili TRA Anaweza Kosa Hizo Za TRA Akajikuta Amendaa TPA.
Bajeti Ilishapita Muda Hapo Serikali Ndo Inafelisha vijana maan nafac za mwaka ujao wa 2023/24 Zinapelekwa utumishi na bungeni ili zipite kwny vibali kuanzi mwezi wa 2. Wa 4 Bunge linanzaa kujadili na kupitisha bajeti kuu then wa mwez wa 7 Hiyo Bajeti inabidi ianzee kutekelezwa.Yap ndo point yangu ilikua hapa kama malengo ya 21/22 hayajafikiwa napata ugumu kuamini 1700 wote watatoka data base kulingana na hali ya uchumi wetu. Watu 1700 kwa wakati mmoja kuwa ajiri far away kwa placement zilizotoka za TRA na nyinginezo basi nchi yetu uchumi wake utakuwa upo vizur.
kaka majeshi lazima ya ajiri kila mwaka, especially jw kila nchi lengo lao ni kuwa na jeshi kubwa, police hawajaweka idadi wanataka wangapi, magereza pia toka mwaka jana hawajatimiza kibali chao cha kuajiri kama sikosei.mkuu 1700 unaona nyingi?
polis wankibali cha ajira 3000, jwtz 6000, magereza 1200 wameajir kwa mkupuo . mbona jk alikua anakomba 40000 walimu kwa mkupuo
Halafu kaka kumbe umenielewa kumbe unajua kuna ugumu somewhere, ndo icho nachoongelea mm nakua mgumu kuamni kwenye huu ugumu uliopo kupata 1700 waajiriwa from data base ila kama kiporo kingekuwa hakipo mm nani nisiamini.Bajeti Ilishapita Muda Hapo Serikali Ndo Inafelisha vijana maan nafac za mwaka ujao wa 2023/24 Zinapelekwa utumishi na bungeni ili zipite kwny vibali kuanzi mwezi wa 2. Wa 4 Bunge linanzaa kujadili na kupitisha bajeti kuu then wa mwez wa 7 Hiyo Bajeti inabidi ianzee kutekelezwa.
Hapo Utumishi inavychelew kuita watu kazini na Bajeti zilipitishwa muda mrefu upande 1 unafifisha maendeleo na Upande mwingine hizo pesa za mishahara ambazo zilitengwa zinafanya kazi nyingine mpk watu wapatikane.
Sasa fikiria leo tupo 2022/23.
Waite watu wa 21/22. Huoni kuna Gape la Mishahara Kwa utofauti wa utekelezaji wa Bajeti.Kupishana Kimuda??
Vijana wanataka kumix mamboKwani hizo zimetoka kanzidata? PDF la waziri linahusisha kanzidat msichngnye mambo?
Huwa hawajui hawa bogi huwa lina mtu 6,000mkuu 1700 unaona nyingi?
polis wankibali cha ajira 3000, jwtz 6000, magereza 1200 wameajir kwa mkupuo . mbona jk alikua anakomba 40000 walimu kwa mkupuo
Sio tu 6000 kuna nyakati walikua wanaajiwa walimu madoctor ma nurse wote walio graduate🙂🙂🙂🙂🙂, bil kuomba kazi.Huwa hawajui hawa bogi huwa lina mtu 6,000
Mm pia nataka uwo mkeka sana wa 1700 ila daaaah.Sio tu 6000 kuna nyakati walikua wanaajiwa walimu madoctor ma nurse wote walio graduate🙂🙂🙂🙂🙂, bil kuomba kazi.
1700 wachache sn kiongozi serkli ikamua inawavuta wote mrijani haoMm pia nataka uwo mkeka sana wa 1700 ila daaaah.
sawa luteni, kibali cha polisi ni 3000 kilitangazwa kwenye gazeti la serikali (habari leo-TSN) magereza 1000 tayari wnamalizia mafunzo kiwira. niseme tu ajira 1700 sio nyingi mkuu. basi tu sababu saiz ajira zinatoka kwa kulengakaka majeshi lazima ya ajiri kila mwaka, especially jw kila nchi lengo lao ni kuwa na jeshi kubwa, police hawajaweka idadi wanataka wangapi, magereza pia toka mwaka jana hawajatimiza kibali chao cha kuajiri kama sikosei.
Ila sio mbaya, tumebaki na siku 8 let see.
Tuna siku 8 kaka lets wait and see.1700 wachache sn kiongozi serkli ikamua inawavuta wote mrijani hao
Mi kwa siasa za bongo wala hata siweki imani 100% zikitoka herii kama siasa pia herii tuzidi t kupambna na kuomba mung maisha yasogeeTuna siku 8 kaka lets wait and see.