HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
But it will be better waweke status after oral kama ilivyo after wrtten or after pract....SELECTED FOR DATABASE or SELECTED FOR PLACEMENT or NOT SELECTES FOR DATABASE mfano wa hivi
Nice idea, hata ukikaa kitaaa unajua upo kwenye status ipi.
 
yote tisa ni afadhali utumishi
kuliko
Private sector& international NGOS ni noma sana
wana ile automatic reply baada ya miezi kadhaa

Dear luaga mpina
thank you for showing interests in joining us, consenquently we regret to inform you that after careful observation we are no longer proceed your application , dont hesitate to apply again

Thank u
WFP HR team,DRC recruitment,UNHCR,Icap tanzania nk

wengine hawajibu kabisa sio kazi,volunteering wala internship. ndio maana nimehamia utumishi,baada ya kipigo cha majeshi na NGOS
Pole sanaa, kwa kweli unaweza jihisi umekataliwa kwenye hii dunia.
 
Jamaa anataka kama halmashauri zinazohitaji watu ni 80 zote zitajwe kwenye Tangazo.
Kipi kinashindikana mkuu? Mbona kuhusu watendaji na madvereva kila halmashauri inapandisha tangazo lake
 
Kipi kinashindikana mkuu? Mbona kuhusu watendaji na madvereva kila halmashauri inapandisha tangazo lake
Aiseh! ukicomplicate sana utaratibu mambo yanakuwa hayatekelezeki. Mfano mzuri ni majirani hapo Kenya, now kila siku wapo mahakamani kwa sababu ya mikwamo ya kikatiba.
 
Hizo Hazihusiki Na Mshirika Ya Umma.
Unakuwa Wizarani Ila majukumu yako Unatekeleza kwa Halmashauri.
Mfano Ww Ni Afisa Misitu kimundoo Unasomeka Upo Wizara ya maliasili(TFS) Ila Unakuwa unafanya Kazi Halmashauri chini Ya Mkurugenzi.
Tofauti Na Afisa Misitu Wa Tfs Anayewajibika Kwa Mkuu Wake Wa Kazi Either Mkuu wa kandaa kwa Eneo Alilopo au Tfs Makao Makuu.
Huyu wa Halmashauri Atapokea Malipo Ya TGS Ila Yule Wa Makao au kandaa Atapokea salary Scale Ya Maamlaka Au Shirika TFSS 1.
Wa Shirika Anakula Vizuri Kuliko Halmashauri.
Kwan PDF inatoka lini aiseee...maaana
 
Kipi kinashindikana mkuu? Mbona kuhusu watendaji na madvereva kila halmashauri inapandisha tangazo lake
Sasa Hiyo Dhahama Huko Ndio Sio pwaa Ukiwa na Connection kwenye wilaya husika unauhakika wa kupata kama mbuyu wako ni mkubwa lets say Mkurugenzi.
Maan Wale Wamepewa maalaka Ya Kuajiri Wao Wanatenga Fungu la Malipo Ya mishahara kwny Makusanyo Yao.
Huku Utumishi Ni Nakala Tu Inatumwa kuonyesha Zoezi liliendesha na nafasi zilitangazwa kwa uwazi ili wote wapambanie
 
Labda washakuona unawadanganya,,, yaan hujui unatoa points za uongo.
Mkuu nakushauri siku nyingine kama swali hujui kabisa just be honest, husiseme kuwa hujui Ila waambie kuwa umesahau, sometimes wanajua watu wamemaliza zamani na mtaan hakusomeki😂😂 materials yanasepa wanaweza kukufikiria hata kwa maksi 5 za mchongo kwenye hilo swali😁
Sometimes kuna kitu wanaweza kuwa wamenote kutoka kwako?

Kwa Mawazo Yang (Positively ways) Unaweza kuta ni Swali la 4 ambapo previous questions Umejibu vzr sn so hapo Piah wanaweza kuassume Kijana Yupo vzr so haina haja ya kumpotezea muda.

Kwa Upande wa 2 (Negatively Ways) Kijana Unaweza kuwa umebaka Swali ya unatoa majibu yasiyo sahihi kulingana na Swali hivyo Piah kuliko kuwapotezea muda kusikiliza Op wanakupeleka Swali kinalofata na hii inatokana na confidence ya muhojiwa anayoutumia kujibu majibu ya Uwongo.

Nipo nawaza tu sina uhakika
 
Vyovyote itavokua, nafikiri sio sawa ku-mfanyia hivo msaili, hivi wanakuaga bize kuandika, sijui wanaandikaga nini.
 
Hizo Hazihusiki Na Mshirika Ya Umma.
Unakuwa Wizarani Ila majukumu yako Unatekeleza kwa Halmashauri.
Mfano Ww Ni Afisa Misitu kimundoo Unasomeka Upo Wizara ya maliasili(TFS) Ila Unakuwa unafanya Kazi Halmashauri chini Ya Mkurugenzi.
Tofauti Na Afisa Misitu Wa Tfs Anayewajibika Kwa Mkuu Wake Wa Kazi Either Mkuu wa kandaa kwa Eneo Alilopo au Tfs Makao Makuu.
Huyu wa Halmashauri Atapokea Malipo Ya TGS Ila Yule Wa Makao au kandaa Atapokea salary Scale Ya Maamlaka Au Shirika TFSS 1.
Wa Shirika Anakula Vizuri Kuliko Halmashauri.
MDAS- stand for ministries,Department,Agencies.
mkuu kusiwe na mashirika ya umma hapa kwelii??
ngoja waje wataalamu wengine watoe maoni. mfano MDAs- post ya mchumi iliyopigwa kikanda juzi moja ya job descriptions ilikua ni kukagua mahesabu ya taasisi mbalimbali za umma na Bunge.
 
Back
Top Bottom