HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yote hii ni disaster ya kulundikana graduates kitaa , tangu 2014 rate ya kuajiri imekuwa ya kinyonga mno , lundo la graduates walioko kwa mtaa ni kubwa sana ,na sijui serikali itafanya nini kunusuru hii hali ,yaani maamuzi ya mtu mmoja yanaweza tengeneza crisis na ndio kilichotokea sasa.
Kiasi kwamba Watu wako desperate kufanya kazi yoyote
 
Yote hii ni disaster ya kulundikana graduates kitaa , tangu 2014 rate ya kuajiri imekuwa ya kinyonga mno , lundo la graduates walioko kwa mtaa ni kubwa sana ,na sijui serikali itafanya nini kunusuru hii hali ,yaani maamuzi ya mtu mmoja yanaweza tengeneza crisis na ndio kilichotokea sasa
uchumi wa viwanda tulioahidiwa ndio umeleta haya yote mkuu,bora hata vijana tungekua tunakopesheka kwenye mabenki na halmashauri
 
Mimi pia naunga mkono hii ,mtu ujuwe now unapatikana.Database au lah.
Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila Kujua
 
Kwani data base inaanza kuhesabakika kuanzia lini placement kutoka au baada ya oral tu?
 
Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila Kujua
Bora nijue nipo Database, gharama za.kwenda.kwenye interview zingine zinapungua....
 
Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila Kujua
mbinu za Mchezo wa draft. 😄
Kabla haujacheza lako cheza la mshindani wako.
mawazo makini
 
Back
Top Bottom