Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Mzigo unakuja mwamba kaa kwa kutuliaa tuYeah hiyo ni sababu moja wapo. Ukitoa TRA na TPA ambao kwa miaka ya karibuni wamekua wanaajiri wengi kwa mara moja. Taasisi nyingi zinaajiri watu 10-50 kwa kada zake nafasi moja au mbili, kwa vibali vinavyojitegemea, vinavyosota katika ngazi mbali mbali huko utumishi.
Leo useme utachukua watu 1700 kanzidata, maana yake vibali vingi itabisi wavi- nullify.