Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Hamna kk kuna wanaopata kuptia hiyo database pasina kuchomekwa au kupenyezwaBinafsi sio muumini wa hio "database" naiona kama ni mwanya tu wa upendeleo na kujuana katika ulimwengu huu kupata ajira kwa njia ya ushindani.