HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
yote tisa ni afadhali utumishi
kuliko
Private sector& international NGOS ni noma sana
wana ile automatic reply baada ya miezi kadhaa

Dear luaga mpina
thank you for showing interests in joining us, consenquently we regret to inform you that after careful observation we are no longer proceed your application , dont hesitate to apply again

Thank u
WFP HR team,DRC recruitment,UNHCR,Icap tanzania nk

wengine hawajibu kabisa sio kazi,volunteering wala internship. ndio maana nimehamia utumishi,baada ya kipigo cha majeshi na NGOS
 
Wakuu naomba kuuliza hizi kazi za tutorial assistant ukifaulu unaweza tunzwa kwenye database.
Je Hilo pdf la kanzidata ni mwaka upi watalamba asali 2021 au 2022 waliofanya interview
Naombeni majibu wakuu
 
Hii ki2 kama una connection utatoboa ila kwa watoto wa maskini bora wakabi utumishi kwny 100.
Wanaotoboa kwa connection utumishi labda ni 10.
Ila huko kwa tasisi utasikia 50 ni connection.
Bora Slow But Sure For Majority.

Kama TRA wanatoa ajira 500 hawawezi pachika watu wao wote asee wanaweza pachika 100 afu 400 tukapambania maskini. Hata utumishi janja janja zipo sana tu.
 
Naombeni majibu wakuu
Utartibu wa database
1.Uwe umefaulu ie.kwa kada za kufundisha ni 70% na kada nyingine ni 50%
2.Uwe within timeframe ie. Within 1 year since umefanya oral/placement

So we jipime hapo kama unahisi una vigezo bs sbria pdf la mama
 
Hizo ni Siasa hata zile nafas za LGA/MDA hawaja sema ofisi zipi hapa ni uhuni tu.
Zile zitakua za halmashauri huko, utakutana tu na barua kuripoti kwa mkurugenzi halmashauri husika.

Zimewekwa too General, ingefaa wazichambue mtu ajue toka awali.
 
Zile zitakua za halmashauri huko, utakutana tu na barua kuripoti kwa mkurugenzi halmashauri husika.

Zimewekwa too General, ingefaa wazichambue mtu ajue toka awali.
mkuu pale halmashauri ni LGA pekee, wakati MDAS huku ndo kwenye asali hasa ukiotea wizara,idara ama taasisi nzuri
 
Back
Top Bottom