Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 251
- 665
Ila pia nimeona wale ambao walikuwa wameshapata kazi hivi karibuni hawajachukuliwa tena na TRA.
Nadhani Yale mambo ya double placement wameanza kuyashughulikia.Naimani vingi watafanyia kazi....Ila pia nimeona wale ambao walikuwa wameshapata kazi hivi karibuni hawajachukuliwa tena na TRA.
Umeongeo vyema, Ajira portal iboreshwe kuwe na transparency... Mfano majibu ya oral yawekwe wazi na majina yanayobaki a data base yajulikane.Mtu asie na connection yyte hawezi kutetea utartbu wa mashirk kuajiri...psrs wajiboreshe maisha yaendlee hakuna kurudi nyuma
Najua huenda wengine ikawauma uko walipo lakini hii kitu imekaa poa sana sana, ili mtu usimzibie ridhiki mwingine kwa wakati husika. KaziiendeleeIla pia nimeona wale ambao walikuwa wameshapata kazi hivi karibuni hawajachukuliwa tena na TRA.
hakuna kati yetu atakae kuja na ushuhuda hapa kuwa kapata kazi kwa connection huko utumishi never,cc wabongo wengi ni tuna kaunafki fulani utasikia tu MUNGU ametenda. nje na uwezo wetu kutusua bongo kwenye ajira inahitaji kujipanga nje ndani. i feel ure pain mkuu twinawe usife moyo,faraja zetu najua hazikusaidii chochote kwenye madeni yanayo kukabili na ujauzito wa mkeo. ajira bongo ni kiiza kizito tena kinene. jipange upya andaa silaha zote na muombe MUNGU akuongoze
Hvi mshahara wa tax management officer ni kiasi in term of gross pay ?
daah sio poa afsa,but ipo siku tutatusuaJamaa kaongea Point sana, tuishi humu kuna jamaa yangu kapata hizi Placement za TRA leo ila mzee wake yuko pale HQ ana cheo kikubwa tu. Alinambia nimepiga oral bhs kazi nimepata na nitabaki hapahapa Dar kazi kweli kapata tayari. Sometimes hata wewe fikiri uko interview na mtoto wa mkuu wa mkoa wote mnapiga Oral hivi unafikiri utatoboa?? labda Mungu akushike mkono tu.
Sisi tusio na connection tuombe sana Mungu atuguse ndugu zangu. Tuombe Mungu na pia tutafute connection. Mimi ni moja ya wahanga wa Ajira nimepitia mengi ukipitia post zangu za nyuma niligiveup kabisa kuomba kazi. Nimehudhuria interview 5 za utumishi 3 nimekwenda mpaka oral lakini mpaka leo sijawai pata kitengo. Week hii jumamosi nina oral interview nyingine ya MDA. Ninawajua wengi waliopata kazi kwa connection au kuhonga ila tatizo hawawezi kukusaidia watanyamaza kimya, ndo wabongo tulivo hatuna moyo wa kusaidiana au kuinuana.
Nyie wenye mawazo ya hivi ndio mnashindwaga kwa sababu ya poor mentality.Jishughulishe kujua mifumo ya PSRS na hatua za mchakato kabla ya kusema uongo na kudanganya umma unaokusoma.Jamaa kaongea Point sana, tuishi humu kuna jamaa yangu kapata hizi Placement za TRA leo ila mzee wake yuko pale HQ ana cheo kikubwa tu. Alinambia nimepiga oral bhs kazi nimepata na nitabaki hapahapa Dar kazi kweli kapata tayari. Sometimes hata wewe fikiri uko interview na mtoto wa mkuu wa mkoa wote mnapiga Oral hivi unafikiri utatoboa?? labda Mungu akushike mkono tu.
Sisi tusio na connection tuombe sana Mungu atuguse ndugu zangu. Tuombe Mungu na pia tutafute connection. Mimi ni moja ya wahanga wa Ajira nimepitia mengi ukipitia post zangu za nyuma niligiveup kabisa kuomba kazi. Nimehudhuria interview 5 za utumishi 3 nimekwenda mpaka oral lakini mpaka leo sijawai pata kitengo. Week hii jumamosi nina oral interview nyingine ya MDA. Ninawajua wengi waliopata kazi kwa connection au kuhonga ila tatizo hawawezi kukusaidia watanyamaza kimya, ndo wabongo tulivo hatuna moyo wa kusaidiana au kuinuana.
Kwani wanataka kurudisha kwa taasisi?@Muju4Turuhusu yapite, lakini hii ya kurudisha usahili uwe unafanywa na taasisi yenyewe inabidi kuwe na uangalizi mzuri la sivyo lawama zitarudi.
Wale jamaa namaanisha psrs wako fair sana, kwa msailiwa aliyefanikiwa kufukia mashimo yote kipindi cha kujiandaa iwe kwa kuotea au kusoma materials yote kwa ukamilifu, ni rahisi kupenya, issue ni kubalance muda, kwa majukum ya kimaisha na maandalizi ndio changamoto ipo hapo.Nyie wenye mawazo ya hivi ndio mnashindwaga kwa sababu ya poor mentality.Jishughulishe kujua mifumo ya PSRS na hatua za mchakato kabla ya kusema uongo na kudanganya umma unaokusoma.
FactHello ndugu pole lakini usikate tamaa believe me hiyo ya TRA haikuwa katika mpango wa Mungu kwako bali muombe Mungu bila kuchoka atakupatia nafasi nyingine kadri ya mapenzi yake.Mie ni Muhenga but I feel your pain iliwahi kunipata miaka hiyo late 90's wakati TRA imeanzishwa nikiwa hoi nafanya kibarua katika kampuni za wahindi mitaa ya Stendi ya Kisutu(Miaka hiyo mabasi ya Moshi Arusha yalikuwa yanaanzia hapo) nikawa nimeitwa interview TRA lakini nikachelewa kufika interview kwa sababu ile barua ya Invitation ya Interview iliyotumwa kwa REGISTER ya POSTA(Wakati huo hakuna mitandao wala simu za mikononi) nilichelewa kuipata kwani Box ya Posta niliyotumia ndugu hawakunitafuta kunipatia hiyo barua,hivyo siku moja nilipopita kwa hao ndugu nikakuta naitwa interview lakini deadline ilikuwa imepita kwa siku moja na nilipoenda Chuo cha Kodi Mwenge nikakuta walishafunga zoezi nikajaribu kujieleza lakini it was too late.
Kwa kweli iliniuma sana na nikajiona nina mkosi lakini baadae nikapiga moyo konde na nikaendelea kufanya application kwingine na baada ya mwezi mmoja nikaitwa interview kwenye shirika moja la umma ambalo lilikuwa lipo vizuri kama TRA na fortunately nikawa selected na kupata ajira ambayo nimekuwa nayo hadi leo.
Cha kushangaza,kuna jamaa kama wawili nilikuwa nawafahamu waliopata ajira TRA katika kipindi hicho nilichokosa hawakudumu kazini hapo TRA walifukuzwa kazi kabla hata ya kufikisha three(3) years kwa hiyo nikawaza pengine na mie labda nisinge-survive hapo kazini,japo simaanishi kuwa hakuna Job security bali najaribu kuelezea kuwa haya mambo yana lots of dynamics.
Hivyo,naku-inspire usikate tamaa endelea kupambana wakati wa Bwana ukifika utapata sehemu ambapo kuna fungu lako
kupata unachostahili ni rahisi zaidi kuliko kupata unachotaka.Ni suala la muda tu ndugu yangu, tusikate tamaa kaka
Nimepata ajira ya TRA, Sina connection, sina ndugu anaefanya kazi serikalini, sina ninaemjua utumishi, sikuvujishiwa mtihani, sikujua maswali ya oral.. Nilijiandaa vizuri mengine nikamuachia mungu.. Utumishi Wapo Fair.Jamaa kaongea Point sana, tuishi humu kuna jamaa yangu kapata hizi Placement za TRA leo ila mzee wake yuko pale HQ ana cheo kikubwa tu. Alinambia nimepiga oral bhs kazi nimepata na nitabaki hapahapa Dar kazi kweli kapata tayari. Sometimes hata wewe fikiri uko interview na mtoto wa mkuu wa mkoa wote mnapiga Oral hivi unafikiri utatoboa?? labda Mungu akushike mkono tu.
Sisi tusio na connection tuombe sana Mungu atuguse ndugu zangu. Tuombe Mungu na pia tutafute connection. Mimi ni moja ya wahanga wa Ajira nimepitia mengi ukipitia post zangu za nyuma niligiveup kabisa kuomba kazi. Nimehudhuria interview 5 za utumishi 3 nimekwenda mpaka oral lakini mpaka leo sijawai pata kitengo. Week hii jumamosi nina oral interview nyingine ya MDA. Ninawajua wengi waliopata kazi kwa connection au kuhonga ila tatizo hawawezi kukusaidia watanyamaza kimya, ndo wabongo tulivo hatuna moyo wa kusaidiana au kuinuana.
We jamaa bwana usiwayoneshe kidonda wenzako...Naona hata wale ma intern wa TRA wengi wamekandwa sana. Wale watu wanakuwaga na over confidence sana, wanahisigi kama wao ni mamlaka tayari
hongera. ngoja sisi wa december tuone itakuaje..Nimepata ajira ya TRA, Sina connection, sina ndugu anaefanya kazi serikalini, sina ninaemjua utumishi, sikuvujishiwa mtihani, sikujua maswali ya oral.. Nilijiandaa vizuri mengine nikamuachia mungu.. Utumishi Wapo Fair.
Ukipata kz bora kutulia sio kuanza kuponda ponda sio poaWe jamaa bwana usiwayoneshe kidonda wenzako...