HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sekretarieti ya Ajira na Wizara ya Kilimo wamekua reluctant sana kutoa placements za Taasisi mbalimbali zilizo chini ya wizara:
-ASA
-TARI
-NIRC na
-CPB
Interviews zimefanyika toka December mwanzoni na January, Sasa swali la kujiuliza: Je Taasisi hizi chini ya Wizara hazina uhitaji wa haraka wa watumishi?
Au wanasubiri hadi Mhe. Rais alisemee ndio watoe kwa emergency kama ilivyokua kwa TRA? Tujiulize!!
 
Naona hata wale ma intern wa TRA wengi wamekandwa sana. Wale watu wanakuwaga na over confidence sana, wanahisigi kama wao ni mamlaka tayari
Umeitafsiri vipi hilo, na ingekuaje ingetoka sehemu kubwa ya waliopata wangekua hao "interns" kama unawajua kweli na wewe haumo, ungepongeza au ungekua mstari wa kwanza kupinga mchakato kwa kuwa ma chembe chembe za upendeleo?
 
Asimilia kubwa utumishi wapo fair sana. Kasoro na makando kando hayawezi kukosa ila ukweli wengi tumepata kupitia utumishi bila wakala.

Wote wenye imani tofauti hebu jaribuni kitu kimoja. Mnapoona nafasi zimetangazwa anza kusoma kabla hata hawajaita written. Mimi nilifanyaga hivo nilipoomba tu kazi nikaanza kusoma bila kujali wataita au la. Interview ya kwanza niliitwa ila nilitoka mchezoni baada ya kuwa sina cheti cha form 6 japo niliweza kupenya hadi oral nikaingia but sikuwa na confidence tena ikanila kichwa na nikaweka imani ya wenda sababu ni cheti.

Interview ya pili nikaomba baada ya hapo nikasafiri nikaenda nikachukua cheti nikahakikisha sina kasoro yoyote. Nikaanza kusoma miezi 4 kupo kimya tukaja kuitwa nipo vizuri hatari. Hakika sikuwa na mtu wala nini na nilipata.

Fanya hivyo hutojuta. Tuache zima moto hakika utaingia kwenye writren utaona maswali ni kama ulipewa mtihani. Tumieni library za mikoa wenye access na asiyo nazo tumia videsa vya watu kila mnapokutana interview piga picha soma.
 
Nyie wenye mawazo ya hivi ndio mnashindwaga kwa sababu ya poor mentality.Jishughulishe kujua mifumo ya PSRS na hatua za mchakato kabla ya kusema uongo na kudanganya umma unaokusoma.

Acha ujinga wewe hukohuko utumishi watu wanahonga na wanapata kazi, utumishi inasaidia ila sio kwa asilimia zote ndugu yangu.
 
Nimepata ajira ya TRA, Sina connection, sina ndugu anaefanya kazi serikalini, sina ninaemjua utumishi, sikuvujishiwa mtihani, sikujua maswali ya oral.. Nilijiandaa vizuri mengine nikamuachia mungu.. Utumishi Wapo Fair.

Sijakataa utumishi hawako fair ila sio 100% kuna watu kibao nawajua na wamepata kazi kwa connection, Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza na kila anayepata kazi anasiri yake moyoni hawezi kwambia ni connection ila ni wachache watakwambia.
 
Sijakataa utumishi hawako fair ila sio 100% kuna watu kibao nawajua na wamepata kazi kwa connection, Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza na kila anayepata kazi anasiri yake moyoni hawezi kwambia ni connection ila ni wachache watakwambia.
Ila waliopata bila connection ni wengi kuliko waliopata kwa connection
 
HABARI WANA JF, PONGEZI ZA DHATI SANA.

Napenda kuwapa pongezi za dhati kwa familia ya wana JF ambao mmefanikiwa kupata nafasi za kuwa watumishi wapya wa umma.

Pia napenda kuwapa pole sana kwa ambao hawakufanikiwa kupata nafasi kwa wakati huu, lakini ni waase kuwa kesho yetu ni njema na bora sana maishani mwetu.

Mungu wetu anatupenda sana. Kumbuka, Mungu anatupa kile tunachostahili na hatupi kile tunachokitaka. Tusikufuru wala kulaani bali tuundelee kumshukuru kwa rehema zake zisizokuwa na kipimo pamoja baraka zake kwetu. Maana Mungu anatundalia kitu kizuri tunachostahili na bora kwetu.

Kufika hatua ya oral interview tayari ni ushindi tosha kwetu. Kitu bora na cha muhimu ni kufurahia mafanikio ya wenzetu kwasababu Mungu anambariki yule ambaye anamuombea mema binadamu mwenzake.

Mipango ya Mungu ni bora kuliko mipango yetu, Mungu hajawahi kukosea wala kuchelewa na uwa anajibu kwa wakati. Naimani Mungu anatusaidia/atatusaidia kutimiza malengo yetu kwa wakati muafaka.

That step you afraid to make, might be a game changer. May Almighty God grant us success, grace and blessings. [emoji120][emoji109][emoji1666]. #SeeYouAtTheTop. Champs [emoji471]🫂.
Hakika huu ujumbe umenibariki, wakati wa Mungu ndiowakati sahihi tusisite kuendelea kuomba pale nafasi zinapojitokeza kwani tunakumbushwa mtafutae hachoki na akichoka ujue keshapata.
 
Bila shaka kuanzia Sasa PDF la placements la hizi taasisi nalo litakuwa njiani.Ni mwezi Wa tatu huu Sasa placement haijawekwa hadharani....
Toka November mwaka Jana
Sekretarieti ya Ajira
 

Attachments

  • Screenshot_20230213-001054.png
    Screenshot_20230213-001054.png
    82.8 KB · Views: 20
Back
Top Bottom