HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sekretarieti ya Ajira , suala mtu kujua marks n status yake/kama kaferi au kafauru liwe wazi, kuna manufaa gani kubaki kua siri kwenu pekee?? Kama kuna eneo lina linaathiri afya ya akili ya waomb ajira ni hilo eneo.

Binafsi naamini Sekretarieti ya Ajira kwa kiasi kikubwa mmefanikiwa kusimamia michakato ya ajira bila upendeleo na mkapata imani ya jobless wengi na watanzania wengi. Maana kabla yenu hali ilikua tete, ukanda/ukabila ulikuwa wazi kabisa.

Hivi karibuni mtafanya mchakato wa kuajiri toka kanzidata (kwa alivyohidi Mh. Waziri), lakini wateja wenu hawajuii chochote kuhusu hatima yao, wanabaki kutafunwa na stress, maana hawajui status za saili za mahojiano.

Sekretarieti ya Ajira hamuoni kama hili suala linaweza hata kuwatia doa, mara baada ya ajira hizo kutolewa? Mfumo wa portal upo, baada ya oral mtu ajua wazi kama kafauru au la? ili hata kama kaferi akaendelee na shughuli nyingine za ujenzi wa Taifa.
Natumaini wamekusikia...tusbrie majibu yao
 
Raisi wetu ni mtu wawatu na anajali kila mtanzania Aishi maisha mazuri, ameona ajira portal haiwezi kumudu kufanya kaz vizuri ,due to factors nyingi.
So Raisi ikimpendeza aruhusu taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk, .

Hii itapunguza malalamiko ya vijana kucheleweshea kulamba asali
 
ACha wasombwe wakalambe asali, utumishi wamezidiwa kwa kweli.
waachie taasisi na mashirika waajiri wenyewe kama kipindi Cha jk

bora hivi hivi na sisi watoto wa wakulima tule mema ya nchi
 
Raisi wetu ni mtu wawatu na anajali kila mtanzania Aishi maisha mazuri, ameona ajira portal haiwezi kumudu kufanya kaz vizuri ,due to factors nyingi.
So Raisi ikimpendeza aruhusu taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk, .

Hii itapunguza malalamiko ya vijana kucheleweshea kulamba asali
Kwa hili hapana maono yangu aache secretariet waendlee urasimu utakua mwingi sana asie na connection hatopata kazi
 
Mi naona bora ajira portal ila iongezewe nguvu zaidi asee nepotism ni ndogo sana ukilinganisha wakisema kila Shirakawa liajiri itakua balaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kweli bhana,, hv kama watu waliofanya Usaili Toka mwaka Jana Nov na wamefuzu hawa ingetakiwa wawe washaanza kula Mishahara Yao Ila unashangaa Hadi Leo hawajuai hatma yao
 
bora hata mashirika ya gavamenti,aiseeh cheki sekta binafsi mfano CRDB, na makampuni ya simu haloo kama sio mtu wa ukanda fulani hutoboi
Yeah binadamu ni kiumbe mbinafsi sana! Tusikubli kurudi nyuma mbpo tasisi zilipewa uwezo wa kuajiri wenyewe. Sekritariati iachane na ukiritimba, kama ni rasilimali watu iajiri m sure wanao wengi tu kwa database
 
Mi naona bora ajira portal ila iongezewe nguvu zaidi asee nepotism ni ndogo sana ukilinganisha wakisema kila Shirakawa liajiri itakua balaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ajira portal ni urasimu mbaya sana .
Raisi wetu kipenzi ipige pouse kwanza hii taasisi, vijana wetu walambe asali ,
Ili wakushukuru 2025
 
Yeah binadamu ni kiumbe mbinafsi sana! Tusikubli kurudi nyuma mbpo tasisi zilipewa uwezo wa kuajiri wenyewe. Sekritariati iachane na ukiritimba, kama ni rasilimali watu iajiri m sure wanao wengi tu kwa database
Mtu asie na connection yyte hawezi kutetea utartbu wa mashirk kuajiri...psrs wajiboreshe maisha yaendlee hakuna kurudi nyuma
 
Kweli bhana,, hv kama watu waliofanya Usaili Toka mwaka Jana Nov na wamefuzu hawa ingetakiwa wawe washaanza kula Mishahara Yao Ila unashangaa Hadi Leo hawajuai hatma yao
Ajira portal ni urasimu mbaya sana,
Raisi wetu kipenzi tunakuomba ipige pouse hii taasisi, utafurahi 2025
 
Binafsi nimekandwa mara nying t na psrs lakn naamini kwa kiasi kikubwa wako fair am supporting them hope one day ntalamba asali pasina connection yyte
Hata mimi nina imani nayo nina ushuhuda wa watu kibao wameramba asali bila connections na wameenda taasisi nzuri tu from 0 to hero

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hili hapana maono yangu aache secretariet waendlee urasimu utakua mwingi sana asie na connection hatopata kazi
Sasa mbona malalamiko ya usheleweshaji wa kulamba asali yamekuwa mengi sana .
Turudi kama kipindi Cha jk TU.
Kila MTU afight kivyake
 
Back
Top Bottom