HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.

Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.

Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .

TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .

Sijui what next.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Daaah pole sana ndugu najua unavyojisikia, kama kuna kijiwe cha washikaji jirani ebu nenda kapige stori kidogo na usilioneshe hilo/hayo maumivu kwa wife maana yeye ndiyo ataumia zaidi kuliko wewe ulivyoumia na hata akikuuliza usioneshe kama umeumia mwambie tu kuna nafasi nyingine itatokea tu awe na amani. Sometimes wazazi/wake/familia zetu zinaumia zaidi kuliko hata sisi tunavyoumia

NB: Usioneshe familia yako kama umeumia sana kuhusu hili chamsingi usikae pekee yako kwa muda mrefu.
 
Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.

Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.

Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .

TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .

Sijui what next.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tulikuambia lakini,usiwape matumaini sana utumishi,we piga interview then endelea na issues zingine.
Ila pole mkuu,huenda mlango wako wa ridhiki bado haujafunguka,usichoke kujaribu tena na tena.
Usiache kusali kwa imani yako, Mungu nae huwa ana majaribu yake sometimes
 
Hahah pole, scan notes na camscaner unaziweka kwenye pdf, unakua kama un peruzi ivi istagram, kumbe unasoma[emoji1787][emoji1787]
Yani tabu tupu,bora wakuone unachat,ila unasoma weee watataka kujua unasoma nn,kwann unasoma yan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...halaf mm sehem yang ni ya open sana kias mtu anaweza simama nyuma yangu bla mm kujua
 
hakuna kati yetu atakae kuja na ushuhuda hapa kuwa kapata kazi kwa connection huko utumishi never,cc wabongo wengi ni tuna kaunafki fulani utasikia tu MUNGU ametenda. nje na uwezo wetu kutusua bongo kwenye ajira inahitaji kujipanga nje ndani. i feel ure pain mkuu twinawe usife moyo,faraja zetu najua hazikusaidii chochote kwenye madeni yanayo kukabili na ujauzito wa mkeo. ajira bongo ni kiiza kizito tena kinene. jipange upya andaa silaha zote na muombe MUNGU akuongoze
 
🤣🤣🤣🤣🤣 daaah, kama kusoma tu mtihani iyo ruhusa kuipata, si mpka umpe mtu ugonjwa.
 
hakuna kati yetu atakae kuja na ushuhuda hapa kuwa kapata kazi kwa connection huko utumishi never,cc wabongo wengi ni tuna kaunafki fulani utasikia tu MUNGU ametenda. nje na uwezo wetu kutusua bongo kwenye ajira inahitaji kujipanga nje ndani. i feel ure pain mkuu twinawe usife moyo,faraja zetu najua hazikusaidii chochote kwenye madeni yanayo kukabili na ujauzito wa mkeo. ajira bongo ni kiiza kizito tena kinene. jipange upya andaa silaha zote na muombe MUNGU akuongoze
Mkuu,tupo tuliopata bila connection ingawa tumehangaika sana.ila pia wapo waliopitia mlango wa nyuma tunawajua wengi tu
 
Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.

Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.

Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .

TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .

Sijui what next.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu,uko mkoa gani?
 
Umekosea sana hutakiwi kuweka matumaini asilimia zote kwenye hiz mambo namaanisha kuwa na matarajio makubwa.
kuwa flexible kukubali matokeo yote
 
Tulikuambia lakini,usiwape matumaini sana utumishi,we piga interview then endelea na issues zingine.
Ila pole mkuu,huenda mlango wako wa ridhiki bado haujafunguka,usichoke kujaribu tena na tena.
Usiache kusali kwa imani yako, Mungu nae huwa ana majaribu yake sometimes
Ni kweli chief.... muhimu ni kutokata tamaa tu.
 
Back
Top Bottom