HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.

Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.

Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .

TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .

Sijui what next.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hey
Pole sana bro, always usikate tamaa na huwez jua Mungu ana mpango gani na wewe, pray hard, work hard, tafuta ata side hustle. Ukiwa unasubiri kazi za kuajiliwa tafuta ata kitu kingine cha kukuingizia kipato.
Kuhusu wanaokudai omba uwalipe kidogo kidogo, unadaiwa laki mbili mpe moyo mdai kwa kumlipa ata 20k, ukipata 10k unalipa, hivyo yan, madeni hayaui na utashtukia umemaliza. Unaweza ona sasa hivi ngumu kufanya ila trust me after six month or even a month utanambia, lazima kuwa na changes ata 30%. I know how u feel, trust me, I have ever been in that situation na nahisi mine inaweza zidi yako but now nabaki kusimulia tu. Transition imechukua only a year, na kazi sina sio private wala serikali. So my dear brother, usione aibu kufanya chochote ili mradi unaingiza kipato halali, muombe sana Mungu kama ni mkristo sali novena, funga and always do good to others, Mungu anasikia sana. Unaweza kuja PM nkutumie strong novena za kusali. Pole sana, I feel ur pain
 
Hey
Pole sana bro, always usikate tamaa na huwez jua Mungu ana mpango gani na wewe, pray hard, work hard, tafuta ata side hustle. Ukiwa unasubiri kazi za kuajiliwa tafuta ata kitu kingine cha kukuingizia kipato.
Kuhusu wanaokudai omba uwalipe kidogo kidogo, unadaiwa laki mbili mpe moyo mdai kwa kumlipa ata 20k, ukipata 10k unalipa, hivyo yan, madeni hayaui na utashtukia umemaliza. Unaweza ona sasa hivi ngumu kufanya ila trust me after six month or even a month utanambia, lazima kuwa na changes ata 30%. I know how u feel, trust me, I have ever been in that situation na nahisi mine inaweza zidi yako but now nabaki kusimulia tu. Transition imechukua only a year, na kazi sina sio private wala serikali. So my dear brother, usione aibu kufanya chochote ili mradi unaingiza kipato halali, muombe sana Mungu kama ni mkristo sali novena, funga and always do good to others, Mungu anasikia sana. Unaweza kuja PM nkutumie strong novena za kusali. Pole sana, I feel ur pain.
Oooh aren't you sweet,powerful msg indeed,u is amazing maa.
 
Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.

Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.

Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .

TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .

Sijui what next.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kaka... mwaka jana nilifika oral TRA na waliajiriwa karibu asilimia 95 waliofika ila mimi sikuwepo... walipotangaza nafasi 187 TMO 2.. nikasema na mimi nafasi yangu ipo hapo... nilifunga kwa sala.. nilisoma vitabu viwili vya tax na nilijiandaa haswa kwa interview... nashukuru mungu written nilipata max kubwa tuu.. na oral nimepita nimepata ajira... Maandalizi mazuri yanajenga kujiamini na pia sala ni salio. Kukosa si mwisho wa kupata nafasi nyingine..
 
Leo ni Kama vile wamekurupishwa Na kulazimika kutoa majina ambapo mashaka ni mengi!

Huenda hawakujiandaa kutoa yale majina, huenda watu genuine wameachwa sababu ya zimamoto style ya kulazimika kutoa yale majina.

Kuna watu wana cv GPA za vyuo vya kueleweka wameachwa! Imagine!

Bora ivunjwe ijulikane moja maana miueyusho tu!
 
Mkuu jamaa wanatazama nankuchukua wale waliofanya vizuri zaidi katika usaili, hizo CV na GPA kila chuo kina namna ziafanya kwa graduate wake.

Tukubaliane tu, tuliobaki hatukupata alama za kutosha.
 
Kaka... mwaka jana nilifika oral TRA na waliajiriwa karibu asilimia 95 waliofika ila mimi sikuwepo... walipotangaza nafasi 187 TMO 2.. nikasema na mimi nafasi yangu ipo hapo... nilifunga kwa sala.. nilisoma vitabu viwili vya tax na nilijiandaa haswa kwa interview... nashukuru mungu written nilipata max kubwa tuu.. na oral nimepita nimepata ajira... Maandalizi mazuri yanajenga kujiamini na pia sala ni salio. Kukosa si mwisho wa kupata nafasi nyingine..
Mkuu nakubaliana na wewe katika hili, maandalizi ya mapema huongeza kujiamini, wengi tunafanya maandalizi zima moto, na hii ni kutokana na aina ya maisha na mazingira yanayotuzunguka.

Hongereni wote mlioshinda saili hii.
 
Leo ni Kama vile wamekurupishwa Na kulazimika kutoa majina ambapo mashaka ni mengi!

Huenda hawakujiandaa kutoa yale majina, huenda watu genuine wameachwa sababu ya zimamoto style ya kulazimika kutoa yale majina.

Kuna watu wana cv GPA za vyuo vya kueleweka wameachwa! Imagine!

Bora ivunjwe ijulikane moja maana miueyusho tu!
Hamna mashaka yyte mkuu...kukosa nako ni matokeo sio lazima watu wote wapate
 
Turuhusu yapite, lakini hii ya kurudisha usahili uwe unafanywa na taasisi yenyewe inabidi kuwe na uangalizi mzuri la sivyo lawama zitarudi.
Sidhani kama hili litatekelezwa kwa sasa,... Liachwe hili lisimamiwe na hawa Utumishi.
 
Back
Top Bottom