HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.

Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.

Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .

TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .

Sijui what next.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu, Mungu ni wetu sote na naamini ana mipango mizuri na wewe. Kikubwa kutokata tamaa.
 
Naona waziri mwenye dhamana n utumishi wa Umma, kashakutana na Menejimenti ya SPSRS, ni mtumini yangu hivi karibuni mambo yatafanywa kwa ufanisi na kasi kubwa.

Haiwezekani kila mwaka kun graduates zaidi ya laki moja, mchakato wa ajira kwa mwaka kwa wasitani jobless anapata received moja na chance ya ajira ni 1:2000, mchakato unachukua mwaka mzima wa stress na sintofahamu kibao.
 
Mataasisi karibia yote yalitoa nafasi mwaka jana, pdf nyingine ndo hizo zinazosubiriwa, kurudi tena nafasi kama zile itakua mwaka mmoja au miwili baadae.
 
Wale mliopata TRA msitukimbie humu wenzenu mkatuacha.Muendelee kuwepo mtufariji na Sisi.
Sure, hao developers waliofika oral na hawapo kwenye placement wangemaliza mzizi wa fitina wa zile status zinazotesa vijana zile; selected for null, not selected for null and at.el
Mataasisi karibia yote yalitoa nafasi mwaka jana, pdf nyingine ndo hizo zinazosubiriwa, kurudi tena nafasi kama zile itakua mwaka mmoja au miwili baadae.
Na graduates wengi kuanzia 2014 hadi 2021, ndo walikutana na freezing ya yule bwana, hali tete sana .
 
Daaah pole sana ndugu najua unavyojisikia, kama kuna kijiwe cha washikaji jirani ebu nenda kapige stori kidogo na usilioneshe hilo/hayo maumivu kwa wife maana yeye ndiyo ataumia zaidi kuliko wewe ulivyoumia na hata akikuuliza usioneshe kama umeumia mwambie tu kuna nafasi nyingine itatokea tu awe na amani. Sometimes wazazi/wake/familia zetu zinaumia zaidi kuliko hata sisi tunavyoumia

NB: Usioneshe familia yako kama umeumia sana kuhusu hili chamsingi usikae pekee yako kwa muda mrefu.
ni kweli kabisa , tuwaoneshe kuwa tumeyapokea matokeo kwa uchanya wake, na pia tumejifunza mengi kupitia usaili
Mungu amuhukumu kwa haki asimpunje wala kumuongezea.
nachelea kuitizama katika kuwa hasi sababu alisema wazi ni kivipi unaajiri wakati kuna wafanyakazi hewa kibao? zoezi la kuwaondoa liliondosha mzigo kwa serikali ambao ndio unatumika kuajiri wengine ili kuleta ufanisi zaidi
 
Naona waziri mwenye dhamana n utumishi wa Umma, kashakutana na Menejimenti ya SPSRS, ni mtumini yangu hivi karibuni mambo yatafanywa kwa ufanisi na kasi kubwa.

Haiwezekani kila mwaka kun graduates zaidi ya laki moja, mchakato wa ajira kwa mwaka kwa wasitani jobless anapata received moja na chance ya ajira ni 1:2000, mchakato unachukua mwaka mzima wa stress na sintofahamu kibao.
Kakutana nao Leo??
 
PSRS hawana changamoto yoyote Kubwa zaidi ya kuchelewesha Placements.Hiki ndio kilio Cha wengi.Ila wao kama wao hawana shida.
Sekretarieti ya Ajira
 
Back
Top Bottom