Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Few days before baba wa familia fulani kakamatwa akimlawiti mtoto wa kiume wa familia nyingine(true story), unafikiri how does the two families take the situation??
Mtu anapokufa uchungu unawashika wengine, the same thing happens when you ar stupid!!
 
WEKA HAPA HILO BONGE LA UFAFANUZI NILIONE.

NDIO NIKO KWA AJILI HIYO. KUPEWA BONGE LA UFAFANUZI KUTOKA KWAKO.
dunani kote watu huishi kwa kufuata misingi aidha ya kimira, kidini au kisheria , nchni tanzania Hakuna Mira wala sheria au dini inayoruhusu ushoga au mapenzi ya jinsia moja. sasa wewe unaejiita mtaalamu, msomi dadafua huo huhalali wa huo ushoga unaoupenda wewe umeutoa wapi
 
Ushauri wangu kama wewe shoga acha tabia hiyo au hamiakwenye
dunani kote watu huishi kwa kufuata misingi aidha ya kimira, kidini au kisheria , nchni tanzania Hakuna Mira wala sheria au dini inayoruhusu ushoga au mapenzi ya jinsia moja. sasa wewe unaejiita mtaalamu, msomi dadafua huo huhalali wa huo ushoga unaoupenda wewe umeutoa wapi
 
Mkuu point ingekuwa ni ridhaa ya mtu basi hata kutumia madawa ya kulevya ingeruhusiwa maadamu anatumia kwa ridhaa yake,sasa wewe unataka waruhusiwe ushoga kisa wamekubaliana wenyewe basi na matumizi ya madawa ingekuwa hivyo hivyo.
katika hili nipo pamoja nawewe
 
Ila mkuu ungejaribisha kufirika...kisha ukaja kutuambia kwa mifano hai jinsi ilivyojiskia kwa mwanaume mwenzio kikukojolea ndani kwa anus,then uhutete sasa huo mwili wako kwa kuona mbona wewe umefirika na hakina cha ajabu..na ni mwili wako..??..mtunuku mtu hayo marinda akishayatatua... njoo jamvini hapa itupe ishuhuda... na kuimarisha hoja yako...
Ajaribishe mara ngapi ... it seems jamaa ndio michezo hiyo kabisa.. wala hauhitaji kuwa professor kuweza kuli ng'amua hilo
 
JIFUNZE KUANDIKA KWANZA BWANA MDOGO!
dunani kote watu huishi kwa kufuata misingi aidha ya kimira, kidini au kisheria , nchni tanzania Hakuna Mira wala sheria au dini inayoruhusu ushoga au mapenzi ya jinsia moja. sasa wewe unaejiita mtaalamu, msomi dadafua huo huhalali wa huo ushoga unaoupenda wewe umeutoa wapi
 
Ww unaona ni haki mtu kutumia kiungo ambacho kina matumizi ya msingi kibiolojia kufanya ufuska?
NI HAKI YAKE NDIYO, KWANI SI MWILI WAKE!

HATA AKIAMUA KUJAMBA KWA MDOMO SAWA TU MIMI HAYANIHUSU.
 
Few days before baba wa familia fulani kakamatwa akimlawiti mtoto wa kiume wa familia nyingine(true story), unafikiri how does the two families take the situation??
Mtu anapokufa uchungu unawashika wengine, the same thing happens when you ar stupid!!
THERE IS NO SEXUAL CONSENT BETWEEN AN ADULT AND A MINOR.

MFANO WAKO NI MFU!
 
TANZANIA NI NCHI YENYE MAKANISA MENGI LAKINI NDIO MAHALI PENYE CRIMES RATE KUBWA.

WIZI, UFISADI, UJANGILI, UZINZI, ULEVI, UJAMBAZI, MAUAJI YA WATOTO, UTEKAJI NK

KAMA ULIDHANI KUWA MUNGU ANASAIDIA KUZUIA MAOVU ANZA KUFIKIRI UPYA.
Kama huamini uwepo wa Mungu chini ya hii dunia unaweza fanya lolote lile bila hofu yoyote kwani ,kuwa na hofu ndio msingi wa kuwa na maadili na tabia njema,hivyo kama mkuu huna dini ,huamini kama Mungu yupo INA maana huna mwongozo wowote zaidi ya kuiahi utakavyo kwani haya mengi kwetu sisi wenye hofu ya Mungu kwa waislam na wakristo tuna vitabu vitakatifu tunavyo viamini na mwongozo wa maisha yetu wa kuishi kwa matakwa ya maandiko hayo ,hivyo wewe ndugu yetu nje ya hofu ya Mungu unaweza hata kumwoa Dada yako hata kuzaa naye .
 
Ila mkuu ungejaribisha kufirika...kisha ukaja kutuambia kwa mifano hai jinsi ilivyojiskia kwa mwanaume mwenzio kikukojolea ndani kwa anus,then uhutete sasa huo mwili wako kwa kuona mbona wewe umefirika na hakina cha ajabu..na ni mwili wako..??..mtunuku mtu hayo marinda akishayatatua... njoo jamvini hapa itupe ishuhuda... na kuimarisha hoja yako...
NIPE RIPOTI YAKO YA KUFIRWA NA JINSI UNAVYOJISIKIA SASA HIVI.
 
Wewe kama unataka kufirwa ***** tu hakuna atakayekufuata nyumbani kwako kuhoji kwa nini unafanya hivyo
Tatizo ni pale unapotaka utambulike kuwa wewe shoga na kuanza kudai haki ya kuwa sawa mwanamke aliyeolewa
SASA HIZI HADITHI ZA AKINA KONKI NA MAKONDA ZILITOKA WAPI?

NINYI NDIO MNAWAGASI GASI HAO MASHOGA.
 
Back
Top Bottom