Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Chochote kinacho tishia ku-derail 'survival' na 'propagation'ya uhai wa kiumbe chochote kile lazima kiume sana! Iwe ugonjwa,kifo, u-amber rutty, ushoga nk.
 
Kwa akili hii nafiri binadamu tunaingia katika kipindi kingine cha genetic revolution. Nawa inawezekana hata ndenge kama kuku walikuwa na kinyeo na kitagio wakapenda mchezo huu mwisho wake vilijiunga na kuwa kitu kimoja.

Kwa matamanio haya naoana soon kuna binadamu watazaliwa kei na kui zimeungana
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
DAAH ! NDIO MAANA MUNGU AKAUMBA MOTO.
 
SASA HIZI HADITHI ZA AKINA KONKI NA MAKONDA ZILITOKA WAPI?

NINYI NDIO MNAWAGASI GASI HAO MASHOGA.
Hakuna anayewaghasi magasho.Mbona wengine wameolewa kabisa?
Hata hizo nchi ambazo adhabu yake ni kunyongwa mashoga wapo ila hawajioneshi wala kupost mavideo mtandaoni
 
Hata nikigoma haitambadilisha. Haya mambo hatuombei yatokee basi tunaeleza ni jinsi gani ni vigumu kucontol ushoga
Naomba tujadili kidogo!

Hivi, ili suala la ushoga kwa nini unajua haliwezi kupewa control na watu kama sisi katika jamii?

Ikiwa kuna madawati ya ukimwi, watoto nk, ngazi ya kitaifa mpaka kata, je unafikiri tukiwa na dawati la Ushoga kuanzia ngazi ya taifa mpaka kata tukaweza kujumuika pamoja na jamii kiujumla tukaweza kuwaita mashoga na familia zao tukatoa darasa unafikiri hii kitu haitezi kukoma?

Kama tukifuata njia hzo siyo kama alivyofanya makonda ya kutaka watu wawataje adharani, sisi tunapita ktk jamii jumla na kupewa darasa nadhani ili jambo linawezekana.

Ukimwi kuwa tishio kubwa lakni watu wameweza kuwa wapole na mpaka sasa tofauti na zamani kwa ukubwa wake kwa maambukizi. Nadhani suala la ushoga nalo laweza kukoma..

Ushoga ni kama ugonjwa na tukitumia njia hyo tunaweza kuwasihi watu ktk jamii kuwa haya mambo siyo mazuri na kuwaepusha wale ambao hawajaathilika.
 
We Rafik yangu n choko nn...?

Embu peleka habari za kisenge unapopajua ww...tunasema inauma kwasababu mm kama baba ambae nmefanya jitiada ya kubandua make wangu na akaweza kujifua mtoto wa kiume kwa kutumia njia ambayo inaweza kule mtoto I mean MTU APA duniani kwann ni fire MTU wakati najua sitaweza kupata mtoto wala Bali n magonjwaa na Aibu kwa jamii

Eti ukubaliane mfano ww n choko watoto wa wenzio sio machoko utumie akili yako ya Kushawishi wawe machokoo si hakii kabisaa

Kama unafurahi nunua borooo LA bandia jifiree mwenyewe lakini sio kuleta mada ambayo utafanya watu wakosee afya na magonjwaaa mkundu upo kwa ajili ya kutoa maviii tu na kupumua hauna kazi nyingine...sawa ww unataka kusema kazi nyingine Kufanyiwa kwa nyumaàa si kweli...labda kwako tena usijaribuuuu sikia tuuu
 
Ukinitajia mnyama yeyote ambaye ni mammal na anafirwa basi ata wewe binadamu ni haki yako kufirwa, binadamu amekuwa nikiumbea ambacho kinazidiwa akili na mnyama.nashangaa mtu kama wewe unashundwa kung'amua.
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Mie mashoga nitawaruhusu kwa Shari MOJA TU.
(1) MZAE KWA MKUNDU.
MKISHINDWA BASI ACHENI.
 
Ambae hana imani juu ya uwepo wa mungu huyo ni shetaniii...katika maisha binadam kuna mambo mawili ambayo yana aminika kua side ya mema na mabaya wale wote wanaopenda mambo mabaya na kujifanya hayo mambo ni mazur kwa sababu tu mwili unaitaji hao tuna waweka ktk kundii LA shetani ambaye n mtenda mabaya

Ukiwa mtenda mabaya kuwa gay ni jambo zurii maana take utapenda mabaya ukiwa na roho mbaya utakufa vibaya....tunaona kwaiyo uyu jamaa na mada yake kama sio shoga anataka kujaribu kufirwaa

Hukatazwii kufirwaa Ila unaambiwa utapata tabuu ktk afya na akili yako
Pia ukatazwii kuamini kama mungu yupo ila tunaamini ibilisi amekutawala versi versa...

Kuwa makini haya ni maisha tu kama ulikuta unakula chakula kwa mdomo usijifanye hujui mdomo na kutumia masikio kula chakula utaumia

Au Leo chukua ugali ingiza kwenye matako yako alafu uonee kama utashibaaaa...ata Sikh moja usitetee ushoga ila tetea kuachana na ushoga au shoga kuacha mambo ya ajabu
 
SIMBA DUME WAWILI WA NGORONGORO WALIREKODIWA WAKIBASHIANA.
Ukinitajia mnyama yeyote ambaye ni mammal na anafirwa basi ata wewe binadamu ni haki yako kufirwa, binadamu amekuwa nikiumbea ambacho kinazidiwa akili na mnyama.nashangaa mtu kama wewe unashundwa kung'amua.
 
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH
Unajitahidi kuwatetea hawa jamaa ila hoja zako nimejaribu kuzielewa naona imeshindikana labda kwa sababu ya uswahili wangu yaani haiingii akilini mtoto wako wa kiume anafika miaka 20 halafu wewe baba unaletewa barua ya posa kutoka kwa mtoto wa kiume eti anataka kumuoa mtoto wako wa kiume kwa sababu wanatumia viungo vyao wao wenyewe na wewe baba kwa sababu una tabia za kizungu unakubali posa mtoto wako anaolewa na sherehe kubwa ...... aaaagh bora nibaki na uswahili wangu!!!!
 
Back
Top Bottom