Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

mwanaume hajaumbwa kufanywa.wanatupa shida wanakuwa wananuka mavi ukikaa nao.karibu.ulishawahi kumuona mtu aliyepasuliwa uume kisa mavi yameziba njia ya mkojo!?
KWANI WAKIINGIZIWA HUKO NYUMA WEWE SHIDA YAKO NINI?
 
mwanaume hajaumbwa kufanywa.wanatupa shida wanakuwa wananuka mavi ukikaa nao.karibu.ulishawahi kumuona mtu aliyepasuliwa uume kisa mavi yameziba njia ya mkojo!?
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH
 
Kichwa cha habari chahusika!

Maadili ya kitanzania yapo hatarini kwasababu ya uzinzi na uasherati uliokithiri kila mahali hapa nchini.

Vijana waseja na hata wanandoa wanafanya vitendo vichafu majumbani, magetoni, kwenye kumbi za starehe na kwenye mahoteli.

Viongozi wa dini mko wapi?? Wakuu wa mikoa mko wapi kulilinda hili taifa lisiangamie kwa uzinzi!!??

Haya ndio maadili ya kitanzania!?

Watanzania wote tukemee uzinzi bila kuchoka kwani ni kinyume na maadili yetu.

Uzinzi ni laana kubwa, na mwenyezi Mungu katika vitabu vyake vitakatifu ameweka wazi kwamba WAZINZI WOTE HAWATAUONA UFALME WA MUNGU.

EPUKA UZINZI NI LAANA KUU NA KINYUME NA MAPENZI YA MUNGU!

Hii topic nadhan unaijua vema ebu fuata hii kanuni km hiii kujua kuwa ushoga ni laana johnson meki maana nimejaribu kuona umetumia nguvu nyingi sana kwanza kupingana na neno ambalo tunaamini ndilo chukizo la Mungu wetu hasa kuna mahali nimeona unadai humtambui wala kumjua Mungu.... aseeee wewe ni km upo kwenye vuguvugu kwa namna hii ni hatari sana maana hata vitabu vinasema ni kheri uwe wa moto au baridi kabisa kuliko kuwa vuguvugu.... ni hayo tuuu ila usipanic
 
UNANILAZIMISHA KUMUIAMINI HUYO MUNGU WAKO AU VIPI?

AU UMEKOSA HOJA UMEBAKI NA VIHOJA VYA HADITHI ZA KALE ZA GOMORA?
Hii topic nadhan unaijua vema ebu fuata hii kanuni km hiii kujua kuwa ushoga ni laana johnson meki maana nimejaribu kuona umetumia nguvu nyingi sana kwanza kupingana na neno ambalo tunaamini ndilo chukizo la Mungu wetu hasa kuna mahali nimeona unadai humtambui wala kumjua Mungu.... aseeee wewe ni km upo kwenye vuguvugu kwa namna hii ni hatari sana maana hata vitabu vinasema ni kheri uwe wa moto au baridi kabisa kuliko kuwa vuguvugu.... ni hayo tuuu ila usipanic
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Ipo, hutaki tuingie kwenye dini basi tuangalie unyago, hivi watoto wakibalee au pale wanaume wanapoingia kuwa watu wazima.. Babu zetu au kuna kabila lilikuwa likiwafunza kufirana au kusagana?
Si utaratibu wetu Waafrika hakuna kabila ndani ya Tanzania hii likiwafunza vijana wanapo balehe kusagana au kufirana..

Mwanamke atafungwa jinsi ya kumshughulikia mwanaume na mwanaume atafunzwa afanye nini awe baba mwenye mji wake..
 
Watu hawajielewi,wameacha watu wanabaka vitoto vidogo ila wamekomaa na wanaofirana kwa hiari na raha zao bila kutubugudhi sie tusiofirana!
Nani kakwambia wabakaji wa watoto wanaachwa..? Jaribu uone...
 
MKUU, HAUNA UWEZO WA KUWAZUIA WATU WASIFIRANE.

HATA TUKIAJIRI POLISI KITENGO CHA MARRINDA NI KAZI BURE.

WATU WAKIWA MASHOGA WANAKUWA MASHOGA TU HAKUNA NAMNA YA KUWAZUIA.
Point yako ipi ya kuniuliza hivyo?maana hata madawa ya kulevya yanapigwa vita ila bado watu wanavuta hadi leo hakuna uwezo wa asilimia mia wa kuzuia.
 
Ipo, hutaki tuingie kwenye dini basi tuangalie unyago, hivi watoto wakibalee au pale wanaume wanapoingia kuwa watu wazima.. Babu zetu au kuna kabila lilikuwa likiwafunza kufirana au kusagana?
Si utaratibu wetu Waafrika hakuna kabila ndani ya Tanzania hii likiwafunza vijana wanapo balehe kusagana au kufirana..

Mwanamke atafungwa jinsi ya kumshughulikia mwanaume na mwanaume atafunzwa afanye nini awe baba mwenye mji wake..
SIO LAZIMA.
 
Hata hiyo mifano uliyotoa ya kuiba mali ya mtu au kutesa mtu,nayo pia si mambo ambayo huonekana mabaya kwa kila mtu na ndiyo maana kuna watu huyafanya na wengine maisha yao hutegemea wizi wa mali za watu.

Kwahiyo vile ambavyo wewe unavyochukulia ushoga kuwa kawaida tu ndivyo mwengine huchukulia kuiba mali ya mtu au hata kuua mtu kuwa ni kawaida tu.
Naam hapa ume jibu vema agiza balimi mzee tuongee cheass
 
SIO LAZIMA.
Nimewaambia kwa utaratibu wetu wa makabila ya Tanzania.. Hiyo sio. Lazima ni. Kwa wazungu na wewe umekataa tusijadili thinking za waliokuja kwa meli na ndege...

Soma kuhusu unyago unafanywa vipi.. Maana huo haukuja kwa meli.. Soma taratibu za makabila ya Tanzania mtoto akibalehe anafundishwa nini?

Utakachokisoma hakikuja kwa meli na ndio culture yetu.. Na ikitokea mtu akifanya kinyume.. Hutengwa na jamii husika.. Au kupigwa exile kabisa

Ukitaka kuleta mawazo ya wazungu turuhusu na sisi tuingie kwenye dini za meli na ndege
 
Back
Top Bottom